Kukawia Kukojoa

Z

zillax kingdom

Member
Joined
Mar 31, 2019
Messages
7
Points
45
Z

zillax kingdom

Member
Joined Mar 31, 2019
7 45
Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe Nawahi

Msaada Wenu Tafadhali
 
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
4,780
Points
2,000
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
4,780 2,000
Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe Nawahi

Msaada Wenu Tafadhali
wanawake tatizo lenu, mnapotiwa, mnakuwa mnawaza hela, badala ya kuwaza tendo. Lazima uchelewe kufika kilele, wakati huo mwanaume anakuwa ameshakojoa long time..!
 
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
5,234
Points
2,000
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
5,234 2,000
Huku wengine wanatafuta dawa ya kuchelewa,wengine wanatafuta dawa ya kuwahi..maisha haya.

Hujasema lakini unakaa muda gani??
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
92,097
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
92,097 2,000
Muone Demiss akusaidie kuondoa kero yako.

Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe Nawahi

Msaada Wenu Tafadhali
 
Forum statistics

Threads 1,303,523
Members 500,948
Posts 31,484,536
Top