Kukawia Kukojoa

Watu wakiambiwa wanawake hawahitaji kupigwa mambo mda mrefu wanaumia...

Wanawake wanahitaji romance kwa muda mrefuuu..

Aisee dawa jitahidi kula karanga,maparachichi,tende,ndizi,korosho n.k

Vyakula hivi vinaongeza hisia na msisimko na kuongeza idadi ya manii kitu ambacho kinaweza kukufanya ukojower mapema
Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe Nawahi

Msaada Wenu Tafadhali
 
Watu wakiambiwa wanawake hawahitaji kupigwa mambo mda mrefu wanaumia...

Wanawake wanahitaji romance kwa muda mrefuuu..

Aisee dawa jitahidi kula karanga,maparachichi,tende,ndizi,korosho n.k

Vyakula hivi vinaongeza hisia na msisimko na kuongeza idadi ya manii kitu ambacho kinaweza kukufanya ukojower mapema
Asante kwa ushaur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom