Mnasifia vulugu? Kuna njia nyingi nzuri za kuonesha kutoridhishwa na mwenendo ya TBC lakini sio vurugu.
Kuweni wastarabu kama CUF
mwandishi au mtangazaji kupigwa ni DEMOKRASIA HURU.....SAFI NA YAFAA KUENDELEZWA NA VYAMA HIVI
Welcome back mpendwaPoor TBC. Hii ni kuonyesha tu kuwa TBC ni kwa ajili ya CCM na si kwa vyama vyote
Ilishajulikana kuwa haya matangazo yamelipiwa na UNDP kwa kila chama kupata 4 hours(masaa 2 kufungua na 2 siku ya kuhitimisha) hivyo wala si hisani. Maana ingekuwa hisani wasingethubutu kuonekana Jangwani.Nilikuwa napata HARAMU na redbull mahala nikawa nakodolea macho tbsiii ghafla wakakata matangazo. pembeni yangu alikaa kanali mmoja mstaafu akabwatuka "HAWA JAMAA HAWAKULIPIA MATANGAZO YA MKUTANO WAO TBC NDO MAANA JAMAA WAMEKATA" nilikaa kimyaaa maana nilijua jioni hii nitapata unyeti wa suala lote na pia ufafanuzi kama matangazo ya kampeni live yanalipiwa and how much?
Na kwa chombo cha habari cha umma kukata matangazo ya chama kingine kutokana na amri ya chama tawala ni demokrasia huru -- safi na yafaa kuendelezwa na chama hicho tawala!
Hivi nani mwenye mamlaka ya kusema chama fulani kimekiuka sheria ya uchaguzi? Tido ni mmiliki,mhariri au mpiga picha kwenye hicho chombo cha habari? Nani mwenye mamlaka ya kuhariri hata kusitisha vipindi vya kituo cha tv? Nimeshindwa kuelewa Kabisa kuwa Tido ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, mhariri wa kampeni za vyama vya siasa au mmiliki halali wa tbc! Mpaka anaweza kutoa amri kusitisha asichokipenda kuona kisirushwe!
Hadi sasa hujui utawala wa CCM ni kama ule wa kambare? Kila mmoja ana masharubu. Inawezekana amri ya kusitisha matangazo ilitoka kwa Katibu Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Dar -- yule Kihiyo nimesahau jina lake!
Tido anadai kama wataendelea hivi, then siku za usoni watashindwa kufanya kazi . . .
Sijui njia sahihi ni ipi maana wakiendelea hivyo huoni sikumoja mtu ataumia...?, hivi hakuna sheri ya kukishitaki chombo cha habari cha serikali maana hii ya kupiga...mwandishi au mtangazaji kupigwa ni DEMOKRASIA HURU.....SAFI NA YAFAA KUENDELEZWA NA VYAMA HIVI
mwandishi au mtangazaji kupigwa ni DEMOKRASIA HURU.....SAFI NA YAFAA KUENDELEZWA NA VYAMA HIVI
Tido anadai kama wataendelea hivi, then siku za usoni watashindwa kufanya kazi . . .
Hapo ndio watanzania watawafundisha TBC kufanya kazi kwa kufuata maadili. Waulize tabia ya fire kwenda kwenye tukio la moto bila maji imeishia wapi siku hizi