Kukatika katika umeme Dar, Waziri Kalemani jitathimini

Kukatika katika umeme Dar, Waziri Kalemani jitathimini

state agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
1,764
Reaction score
2,515
Naona TANESCO wameamua kukudharau maana tangu mwezi huu uanze ni mgawo tu SAA 8 kwa mtaa ,huko nyuma ilianza kama hivi na mtu alipigwa chini.

Sasa ni zamu yako
 
Nina Hakika Waziri Kalemani Leo Tena Anakwenda Ubungo Tanesco Kuondoa Mtu, Dar es salaam Imezizima Sasa Hivi Hakuna Umeme

Wale Watumishi Sita Waliambiwa Wahamie Kwenye Nyumba Zao Za Shirika Pale Ubungo
Nadhani Hawajasafisha Vikombe
Mwezi October, Shida Umeme
 
Huu mgao ni nchi nzima au baadhi ya maeneo?
 
Haki ya Mungu hii sikutegemea kipindi hiki cha awamu ya tano ni dharau sana
Nina Hakika Waziri Kalemani Leo Tena Anakwenda Ubungo Tanesco Kuondoa Mtu, Dar es salaam Imezizima Sasa Hivi Hakuna Umeme

Wale Watumishi Sita Waliambiwa Wahamie Kwenye Nyumba Zao Za Shirika Pale Ubungo
Nadhani Hawajasafisha Vikombe
Mwezi October, Shida Umeme
 
Nina Hakika Waziri Kalemani Leo Tena Anakwenda Ubungo Tanesco Kuondoa Mtu, Dar es salaam Imezizima Sasa Hivi Hakuna Umeme

Wale Watumishi Sita Waliambiwa Wahamie Kwenye Nyumba Zao Za Shirika Pale Ubungo
Nadhani Hawajasafisha Vikombe
Mwezi October, Shida Umeme
Leo wamesafisha vikombe ila wamesahau kijiko cha kukoregea umeme (JUST KIDDING) Umeme hii wiki umeniharibia mtririko wa kazi tatizo taanesko wanadhani umeme huku mitaani ni wa kuwashia taa ty na si chanzo cha ajira nyingi zinazotegemea umeme uwepo wanatuletea maagizo ya vikombe
 
Wanafanya Hujuma Kwasasa Yaani Waziri Katoka Ubungo Bado Mgawo.
Nadhani Wanafanya Taratibu, Ukienda Kariakoo Generator Tele
 
Sijajua ila tangu huyu waziri aende pale TANESCO hali imekuwa mbaya zaidi

Nilidhani hilo tatizo la Dar tu, lakini toka juzi niko Arusha mwenendo ni huo huo. Tena jana eneo nilipokuwa umeme umekatika toka saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Nilipouliza wenyeji wangu wanasema sasa hivi kumekuwa na kukatikakatika kwa mara kwa mara wangalau masaa mawili au matatu.
 
Yeye anafukuza fukuza wataalamu akihisi Umeme unatengenezwa na Sasa..... Mazara yake hayo..... Wataalamu wanamwangalia tu......
Sijajua ila tangu huyu waziri aende pale TANESCO hali imekuwa mbaya zaidi
 
Loooh, ninatoka kanisani tu kufika maskani, umeme huo umekatika. Tunamuomba Mheshimiwa Kalemani aweke makao yake ya kudumu pale Tanesco Ubungo....wajasiriamali wadogo tunaumia sana...hatuwezi endeshs shughuli zetu kwa jenereta....
Nilidhani hilo tatizo na Daraja tu, lakini toka juzi niko Arusha mwenendo ni huo huo. Tena jana eneo nilipokuwa umeme umekatika toka saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Nilipouliza wenyeji wangu wanasema sasa hivi kumekuwa na kukatikakatika kwa mara kwa mara wangalau masaa mawili au matatu.
 
Loooh, ninatoka kanisani tu kufika maskani, umeme huo umekatika. Tunamuomba Mheshimiwa Kalemani aweke makao yake ya kudumu pale Tanesco Ubungo....wajasiriamali wadogo tunaumia sana...hatuwezi endeshs shughuli zetu kwa jenereta....
kalemani hata akikaa na kulala ubungo hilo tatizo litatokea tu,sidhani kama ni la uzembe bali la kiufundi
 
Naona tanesco wameamua kukudharau maana tangu mwezi huu uanze ni mgawo tu SAA 8 kwa mtaa ,huko nyuma ilianza kama hivi na mtu alipigwa chini

Sasa ni zamu yako
Tumepiga sana hatua muda huu wa jpm mpaka tunafikia hatua Yaani mgao sio kitu cha kawaida tena wananchi wanataka waziri ajitathmini. Haya ndio maendeleo sasa.
JPM OYEEEEE
 
Huku niliko juzi walitulaza na giza

Leo wamekata asubuhi
 
Back
Top Bottom