Siyo 18b ni 19.51B........hii ndiyo Tanzania bhanaCAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo,
kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa pakubwa.
Hoja yangu ipo hapa, Kama hayo makampuni yanalipwa feza nyingi kutokana na madhila ya kukatika umeme je cc Wananchi ambao ndo tumeathirika pakubwa mno na mkatiko huo wa umeme ikiwemo, samaki kuoza, vifaa vya umeme kuungua, kulipa Kodi huku tunashindwa kuzalisha, kusimama uzalishaji. Na mengine mengi tu.
Nakuomba serikali Kama mtapampa mgeni posho ya bembelezo au athari za kukatika umeme na sisi Wananchi tunataka hiyo penalti mtulipe kwakushindwa kutupa umeme Kama mkataba baina yetu Kama wateja na TANESCO unavyotaka.
Lazma mtulipe, mabeberu mnawalipa hasara zao sisi je
Jamaa yenu si amesema lazima umeme ukatike kwa sababu kwanza miundo mbinu mibovu, haiwezi kuendana na uwezo kulingana na eneo.
Mwisho juzi hapo akasema, lazima mkubali mabadiriko na au ni kwa sababu ya uwaziri wake au nafasi ya bimkubwa!.
Aya sasa akalipe hilo deni maana linamuhusu moja kwa moja!.
Mbona umepunguza uzito wa habari. Ni kukatika kwa umeme kipindi cha January 2020 mpaka October 2020. Wakati nchi ikiwa chini ya mzalendo namba mojaCAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo,
kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa pakubwa.
Hoja yangu ipo hapa, Kama hayo makampuni yanalipwa feza nyingi kutokana na madhila ya kukatika umeme je cc Wananchi ambao ndo tumeathirika pakubwa mno na mkatiko huo wa umeme ikiwemo, samaki kuoza, vifaa vya umeme kuungua, kulipa Kodi huku tunashindwa kuzalisha, kusimama uzalishaji. Na mengine mengi tu.
Nakuomba serikali Kama mtapampa mgeni posho ya bembelezo au athari za kukatika umeme na sisi Wananchi tunataka hiyo penalti mtulipe kwakushindwa kutupa umeme Kama mkataba baina yetu Kama wateja na TANESCO unavyotaka.
Lazma mtulipe, mabeberu mnawalipa hasara zao sisi je
Afu watu wanasema kipindi cha mwendazake umeme ulikuwa haukatiki.Siyo 18b ni 19.51B........hii ndiyo Tanzania bhana View attachment 2169736
Hata Mimi nashangaa hii kitu. Sidhani kama mleta mada ni mkweli. Mkandarasi anapoexecute mradi kwanza siyo lazima ategemee umeme wa Tanesco. Costing ya power alishaweka kwenye gharana ya mradi, iwe umeme wa Tanesco, solar energy au generators. Kwa hiyo hata kama TANESCO imkatie umeme mwaka mzima yeye atajua mradi anakamilishaje.Kwani hiyo mikataba hawajuweka vipengele vya kumtaka mkandarasi awe na emergency generator
Tatizo ni kwamba Tanesco hawana mkataba na wateja wadogo kama wewe. Ila kama wange kuwa professional walitakiwa kuwa na ratiba ya mgao. Sijui nini kinawashinda Kuja na ratiba.CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo,
kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa pakubwa.
Hoja yangu ipo hapa, Kama hayo makampuni yanalipwa feza nyingi kutokana na madhila ya kukatika umeme je cc Wananchi ambao ndo tumeathirika pakubwa mno na mkatiko huo wa umeme ikiwemo, samaki kuoza, vifaa vya umeme kuungua, kulipa Kodi huku tunashindwa kuzalisha, kusimama uzalishaji. Na mengine mengi tu.
Nakuomba serikali Kama mtapampa mgeni posho ya bembelezo au athari za kukatika umeme na sisi Wananchi tunataka hiyo penalti mtulipe kwakushindwa kutupa umeme Kama mkataba baina yetu Kama wateja na TANESCO unavyotaka.
Lazma mtulipe, mabeberu mnawalipa hasara zao sisi je
Bobu nikueleze tu umeme umekatika sana tangu dada Samia aingie kuliko wakati wa Magu, so wamefanya censoring ya habari, inawezekana wanatudai sana wakati huu sema hawataku kumuexpose mamaMbona umepunguza uzito wa habari. Ni kukatika kwa umeme kipindi cha January 2020 mpaka October 2020. Wakati nchi ikiwa chini ya mzalendo namba moja
Kwa kuwa mkataba wenu na tanesco unataka hivyo, basi mna haki ya kisheria kuwashitaki tanesco ili wawalipe fidia kwa kuvunja makubaliano ya mkataba.Nakuomba serikali Kama mtapampa mgeni posho ya bembelezo au athari za kukatika umeme na sisi Wananchi tunataka hiyo penalti mtulipe kwakushindwa kutupa umeme Kama mkataba baina yetu Kama wateja na TANESCO unavyotaka.
Ndio maana Pohamba anacheka cheka tuu na kuleta kejeli humu jukwaani.Hiyo billion 18 inaingia kwenye mifuko ya magwiji wa siasa za bongo believe it or not.
hahah kwa hiyo deni la 2020, na ripoti ya CAG ya 2021 haijasema halafu inakuja kutolewa 2022 ok, ngoja tuoneSiyo 18b ni 19.51B........hii ndiyo Tanzania bhana View attachment 2169736
CAG anafanya propaganda mbaya sana.Lakini mbona zinasema umeme kukatika katika january 2020 hadi october 2020 kipindi ambacho bado utawala wa mwenzake ulikua kwenye uongozi.
Ila humu naona lawama kama za juzi hivi
Sasa hivi anachofanya ni kumchafua Magu na kuficha mapungufu ya mama, mama akuondoka CAG ataanza kuonesha mapungufu yake, nchi ya kinafiki hiiCAG anafanya propaganda mbaya sana.
Huyu mtu is unethical sijui kwanini mamlaka zinarely na mtu wa aina hii.
Hata kama anafanya kwa manufaa flani ila bado sio wa kumuamini at such highest position katuka ukaguzi wa fedha za nchi yetu.
Sisi wananchi hatuna imani na ripoti zake.