Heshima kwenu wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.
Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.
Bila pesa kila siku utakua unaleta uzi unaofanana hapa jfHahahahaaa.... Bora niendelee tu kungoja, haina namna.
Kaka kuna msemo wa mjini unasema "ukiwa Bahili hapa mjini wanawake wazuri wote utawaita shemeji"endelea kutegemea your physique utasubiri sana tu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.
Asante. No. 5 ndo najipanga ila vingine vyote ninavyo na ninafanya.Pole sana,
Usioneshe kumthamini sana demu Mchukulie Poa ndiyo style ya kuwapata
Lakini pia Jiangalie vizuri,
1.Perfume
2.Pesa
3.Mavazi
4.Mashine(Gari)
5.Mtoko wa Maana(Outing)
Kweli ndg hilo ndilo lilikuwa swali langu mwanamke mzuri ni yupi?maana watu wengi tunachanganya Uzuri na Urembo nahisi mtoa mada anazungumzia warembo zaidi wanao wear expensive perfumes ,mawig ya bei mbaya ,simu kali na makeup nyingi na labda wanadrive!Wanawake wazur ndio wakoje hao.....??
ok Waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Well said wanawake hawana formular wewe silaha yako ni uongo tu ,piga fix uwezavyo Mungu aliwaumba kukubali uongo ,acha ubahili tumia kidogo kwa faida ya baadae always kuwa confident ila angalia first impression ndio ita Determine kama utampata au?Tongoza kigaidi
Pole sana. Kwanza usiwashobokee. Siku zote tunapenda vitu ambavyo hatuwezi kupata kiurahisi. Sasa wewe ukianda na speed 360 lazima ucrash tu. The thing is piga eye contact ya maana wakati unaongea nae. But don't be creepy. Mchekese, nothing serious then chukua number and sepa. Text her the next day and move on.Heshima kwenu wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.
Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.
Aisee... nimefurahia ujumbe wako, asante.Pole sana. Kwanza usiwashobokee. Siku zote tunapenda vitu ambavyo hatuwezi kupata kiurahisi. Sasa wewe ukianda na speed 360 lazima ucrash tu. The thing is piga eye contact ya maana wakati unaongea nae. But don't be creepy. Mchekese, nothing serious then chukua number and sepa. Text her the next day and move on.
Pili, badilisha swag, kama ni hairstyle badilisha, nguo piga ambazo zinafit. Its 2016 fata fashion. Smell nice, this is what most girls like.
Tatu, usisumbuke nao kama mthihani wa taifa. There is a lot of fish in the sea.
-callmeGhost
Mwaga pesa kaka watakufuata wenyeweHeshima kwenu wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.
Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.
Ndgu unantuc bila sababuumekuja kutangaza biashara huku we bwege
Tulia wewe ulitaka tuish vp?Ushauri uliotoa ni mzuri.?Ndgu unantuc bila sababu
Mi nmetoa ushaur ww unaona Wa kibata
Sasa nioneshe wako Wa ki_kunguni
Unaleta ubwege
Kk kweli tunaish HV!!?