Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
- Thread starter
- #61
Ndiyo Mkuu, nitoe vyeti?
Ndiyo Mkuu, nitoe vyeti?
Ndo wanasheria 16 nyinyi mnaoomba kesi iendeshwe Kiswahili ili muelewe kinachozungumzwa...sasa maelezo mengi lakini so far Mkulima 1 Jiwe 0Kwanza, kuna kukubaliana kwa hoja kuwa aliyefungua shauri nchini Afrika ya Kusini na kupata amri ya kuishikilia ndege yetu huko anaidai Serikali(kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, anaidai Serikali ya Tanzania kiasi cha dola milioni kumi za kimarekani).
Pili, Mahakama Kuu ya Afrika ya Kusini (kama zilivyo Mahakama zetu hapa Tanzania), ina mamlaka ya kupokea na kusikiliza mashauri yanayofunguliwa kwa mujibu wa sheria za Afrika ya Kusini ikiwemo ya MDAI wa Tanzania. Pia, ina mamlaka ya kushughulikia shauri hilo na kutoa amri zinazopasa kwa mujibu wa sheria za huko.
Tatu, naamini kuwa kuna Maombi Madogo na Maombi ya Msingi yaliyofunguliwa na MDAI wa Tanzania huko Afrika ya Kusini. Maombi Madogo (ambayo yaweza kuwa yaliwasilishwa kwa Hati ya Dharura) yalihusu kuizuia ndege ya Tanzania (kama mali ya MDAIWA) hadi pale Maombi ya Msingi yatakaposikilizwa. Maombi ya Msingi yanahusu hasa deni husika na gharama nyinginezo za kisheria.
Nne, Maombi Madogo (kama ilivyo hata hapa kwetu) huweza kusikilizwa baina ya pande zote (inter-partes) au upande mmoja (ex-parte). Daima, kusikilizwa Maombi kwa upande mmoja hutegemea uharaka wa jambo linalohusiana na Maombi hayo. Mfano, hapa kwetu Tanzania Maombi mengi ya kuzuia mnada wa hadhara na mengineyo yenye uharaka kama hayo husikilizwa upande mmoja (MUOMBAJI husikilizwa peke yake). Maombi ya Msingi husubiriwa.
Tano, Maombi Madogo hayo pia husikilizwa baina ya pande zote baada ya MJIBU MAOMBI/Tanzania kupatiwa nakala za Maombi na nyaraka za kuitwa Mahakamani. HIYO NI NAFASI YA KWANZA kwetu kuiondoa amri hiyo ya kuishikilia ndege iliyotolewa kwa upande mmoja (yaani ex-parte). Hilo laweza kufanyika kutegemeana na athari za amri iliyotolewa ex-parte na hoja pamoja na uhalali wa kutolewa kwa amri hiyo.
Sita, baada ya pande zote kusikilizwa kwenye Maombi Madogo na uamuzi kutolewa wa ima kuizuia ndege au la, Maombi ya Msingi yataanza kusikilizwa. Yawezekana, MDAI aliharakisha na kusikilizwa peke yake/upande mmoja kutokana na sababu kuwa ndege yetu ingetua na kuruka kutoka nchini Afrika ya Kusini. Labda kuizuia ni 'kuishinikiza' Serikali kuharakisha kusikilizwa na kulipwa kwa deni husika.
Saba, tayari timu ya Mawakili nguli na wabobezi wa Serikali wakiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dr. Kilangi ilishatua Afrika ya Kusini ili kuweza kusimamia, kuratibu, kutatua na kumaliza sintofahamu ambayo ni ya kisheria. Hadi sasa, hakuna la kushangilia wala la kuhuzunikia. Ndege ni yetu na nchi ni yetu. Uzalendo wetu utusukume kuunga mkono juhudi za Serikali katika kulishughulikia suala hili na kulimaliza. Mambo yote yatakuwa sawa!
Nataka ujue hayo
Mkuu, taarifa imetufikia wakati Mdai alishafungua shauri na tayari alishasikilizwa upande mmoja kwa Maombi Madogo.Swali: Wakati shauri linafunguliwa huko SA mpaka hukumu inatolewa sisi tulikuwepo? Au ndo tumekurupuka sasa na hao mawakili nguli??
Duuu kweli kabisa tunaenda kutia aibu tuu hukoMawakili wanaomba kesi ziendeshwe kwa kiswahili ndio wameenda huko kuna kitu kweli au ndio tunazidi kupoteza fedha badala ya kutumika kulipa deni.
Ndege ya Tanzania imenunuliwa na serikali ya Tanzania kupitia bajeti ya bunge la Tanzania.Petro hiyo ndege ni ya wananchi kweli au ni ya viongozi? Kama ndege ni yetu manunuzi yake yako wazi? Yalifuatia taratibu za nchi zilizokubaliwa kisheria? Je mahesabu yake yanakaguliwa na CAG?
Huduma muhimu kama hiyo lazima niitumie, n tuitumie, narudia sijakosea ni lazima, na tutumie kama waafrica, siyo watumie baadhi ya watu wachache tu pekee ajili ya show off!.
Na gharama za uendeshaji zisiwe mzigo kwa watanzania walio wengi, Wewe ni Blind obedient una fanya haya kiunafiki, ukweli unauona, haitusaidii kwa sababu inaondoa ubunifu, na kujenga taifa la ma mbumbu.waoga.
By the way ni ku-missuses of our resources, kwa expenses za walalahoi. tulisha sema azimio la zanzibar serikali haiwezi biashara, tuuze mashirika ya Umma.
Mbaya zaidi alikurupuka, hakufuata sheria kibao za manunuzi , kwa nini? tukisema tunapigwa risasi tunatishwa.
wewe haya huyaoni? yaanitegemea mengi zaidi!
HIVI KWA HALI HIYO UNA SEHEMU ZA SIRI KWELI WEWE?Umalaya ni sifa mkuu, si anazaa lkn? kwanza raha! fumba macho hapo ulipo then think in your Medulla oblongata,
watu waliokuleta Duniani humu walikaa kichungaji au mkao ga ni?
a) wa kipdre k
b)cockroach
c)horse rides
bila huu mchezo usingekuwemo humu JF, yamkini hauutumii, una hasira -mawazo, ndo maana una ukandya, mie nauheshimu sana ndo chakula changu ati.
Ndege ya Tanzania imenunuliwa na serikali ya Tanzania kupitia bajeti ya bunge la Tanzania.
Kwanza, kuna kukubaliana kwa hoja kuwa aliyefungua shauri nchini Afrika ya Kusini na kupata amri ya kuishikilia ndege yetu huko anaidai Serikali(kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, anaidai Serikali ya Tanzania kiasi cha dola milioni kumi za kimarekani).
Pili, Mahakama Kuu ya Afrika ya Kusini (kama zilivyo Mahakama zetu hapa Tanzania), ina mamlaka ya kupokea na kusikiliza mashauri yanayofunguliwa kwa mujibu wa sheria za Afrika ya Kusini ikiwemo ya MDAI wa Tanzania. Pia, ina mamlaka ya kushughulikia shauri hilo na kutoa amri zinazopasa kwa mujibu wa sheria za huko.
Tatu, naamini kuwa kuna Maombi Madogo na Maombi ya Msingi yaliyofunguliwa na MDAI wa Tanzania huko Afrika ya Kusini. Maombi Madogo (ambayo yaweza kuwa yaliwasilishwa kwa Hati ya Dharura) yalihusu kuizuia ndege ya Tanzania (kama mali ya MDAIWA) hadi pale Maombi ya Msingi yatakaposikilizwa. Maombi ya Msingi yanahusu hasa deni husika na gharama nyinginezo za kisheria.
Nne, Maombi Madogo (kama ilivyo hata hapa kwetu) huweza kusikilizwa baina ya pande zote (inter-partes) au upande mmoja (ex-parte). Daima, kusikilizwa Maombi kwa upande mmoja hutegemea uharaka wa jambo linalohusiana na Maombi hayo. Mfano, hapa kwetu Tanzania Maombi mengi ya kuzuia mnada wa hadhara na mengineyo yenye uharaka kama hayo husikilizwa upande mmoja (MUOMBAJI husikilizwa peke yake). Maombi ya Msingi husubiriwa.
Tano, Maombi Madogo hayo pia husikilizwa baina ya pande zote baada ya MJIBU MAOMBI/Tanzania kupatiwa nakala za Maombi na nyaraka za kuitwa Mahakamani. HIYO NI NAFASI YA KWANZA kwetu kuiondoa amri hiyo ya kuishikilia ndege iliyotolewa kwa upande mmoja (yaani ex-parte). Hilo laweza kufanyika kutegemeana na athari za amri iliyotolewa ex-parte na hoja pamoja na uhalali wa kutolewa kwa amri hiyo.
Sita, baada ya pande zote kusikilizwa kwenye Maombi Madogo na uamuzi kutolewa wa ima kuizuia ndege au la, Maombi ya Msingi yataanza kusikilizwa. Yawezekana, MDAI aliharakisha na kusikilizwa peke yake/upande mmoja kutokana na sababu kuwa ndege yetu ingetua na kuruka kutoka nchini Afrika ya Kusini. Labda kuizuia ni 'kuishinikiza' Serikali kuharakisha kusikilizwa na kulipwa kwa deni husika.
Saba, tayari timu ya Mawakili nguli na wabobezi wa Serikali wakiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dr. Kilangi ilishatua Afrika ya Kusini ili kuweza kusimamia, kuratibu, kutatua na kumaliza sintofahamu ambayo ni ya kisheria. Hadi sasa, hakuna la kushangilia wala la kuhuzunikia. Ndege ni yetu na nchi ni yetu. Uzalendo wetu utusukume kuunga mkono juhudi za Serikali katika kulishughulikia suala hili na kulimaliza. Mambo yote yatakuwa sawa!
unawasingizia Chadema. wao wameiba nini na wamemuibia nani sasa wakati raslimali zooote za nchi hii ziko mikononi mwa chama chetu CCM??Ngoja majizi Chadema waje
Ni uzembe somewhere na tusitafute mchawiKwanza, kuna kukubaliana kwa hoja kuwa aliyefungua shauri nchini Afrika ya Kusini na kupata amri ya kuishikilia ndege yetu huko anaidai Serikali(kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, anaidai Serikali ya Tanzania kiasi cha dola milioni kumi za kimarekani).
Pili, Mahakama Kuu ya Afrika ya Kusini (kama zilivyo Mahakama zetu hapa Tanzania), ina mamlaka ya kupokea na kusikiliza mashauri yanayofunguliwa kwa mujibu wa sheria za Afrika ya Kusini ikiwemo ya MDAI wa Tanzania. Pia, ina mamlaka ya kushughulikia shauri hilo na kutoa amri zinazopasa kwa mujibu wa sheria za huko.
Tatu, naamini kuwa kuna Maombi Madogo na Maombi ya Msingi yaliyofunguliwa na MDAI wa Tanzania huko Afrika ya Kusini. Maombi Madogo (ambayo yaweza kuwa yaliwasilishwa kwa Hati ya Dharura) yalihusu kuizuia ndege ya Tanzania (kama mali ya MDAIWA) hadi pale Maombi ya Msingi yatakaposikilizwa. Maombi ya Msingi yanahusu hasa deni husika na gharama nyinginezo za kisheria.
Nne, Maombi Madogo (kama ilivyo hata hapa kwetu) huweza kusikilizwa baina ya pande zote (inter-partes) au upande mmoja (ex-parte). Daima, kusikilizwa Maombi kwa upande mmoja hutegemea uharaka wa jambo linalohusiana na Maombi hayo. Mfano, hapa kwetu Tanzania Maombi mengi ya kuzuia mnada wa hadhara na mengineyo yenye uharaka kama hayo husikilizwa upande mmoja (MUOMBAJI husikilizwa peke yake). Maombi ya Msingi husubiriwa.
Tano, Maombi Madogo hayo pia husikilizwa baina ya pande zote baada ya MJIBU MAOMBI/Tanzania kupatiwa nakala za Maombi na nyaraka za kuitwa Mahakamani. HIYO NI NAFASI YA KWANZA kwetu kuiondoa amri hiyo ya kuishikilia ndege iliyotolewa kwa upande mmoja (yaani ex-parte). Hilo laweza kufanyika kutegemeana na athari za amri iliyotolewa ex-parte na hoja pamoja na uhalali wa kutolewa kwa amri hiyo.
Sita, baada ya pande zote kusikilizwa kwenye Maombi Madogo na uamuzi kutolewa wa ima kuizuia ndege au la, Maombi ya Msingi yataanza kusikilizwa. Yawezekana, MDAI aliharakisha na kusikilizwa peke yake/upande mmoja kutokana na sababu kuwa ndege yetu ingetua na kuruka kutoka nchini Afrika ya Kusini. Labda kuizuia ni 'kuishinikiza' Serikali kuharakisha kusikilizwa na kulipwa kwa deni husika.
Saba, tayari timu ya Mawakili nguli na wabobezi wa Serikali wakiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dr. Kilangi ilishatua Afrika ya Kusini ili kuweza kusimamia, kuratibu, kutatua na kumaliza sintofahamu ambayo ni ya kisheria. Hadi sasa, hakuna la kushangilia wala la kuhuzunikia. Ndege ni yetu na nchi ni yetu. Uzalendo wetu utusukume kuunga mkono juhudi za Serikali katika kulishughulikia suala hili na kulimaliza. Mambo yote yatakuwa sawa!
Malaya haliziki na mwanaume mmoja Endeleeni kuwashangilia wanaowaita nyani Pambavu