johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,000
- 142,027
Umesahau lile la kuhairishwa mechi ya simba na yanga,nyuma ya pazia kulikuwa na nini?Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.
Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.
Yanga baba lao!
Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.

Bwashee wewe umesachiwa?Tozo za mshikamano wa kuijenga CCM ziendelee ili tujenge barabara na madaraja vijijijni...ni jambo jema na ubunifu swafi wa chama chetu.
Tanzania ya madaraja & barabara oyeeee!!
Hahahaaaa...... CCM ndio chama tawala!Waambie CCM wakupiganie hiyo tozo aondolewe.
Chama cha makaburuHahahaaaa...... CCM ndio chama tawala!
Na Chadema ni tawi lake!Chama cha makaburu
Hoja ya Katiba ni zaidi ya hiyo ya miamala. Aidha, sasa hivi hoja hiyo ya miamala inabebwa na UVCCM na nadhani Bakwata.Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.
Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.
Yanga baba lao!
Nimekuelewa mkuu!Mbowe hutumika na serikali bila kujua ili kuharibu Mambo ya msingi
Kumbe utopoloKwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.
Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.
Yanga baba lao!
TOZO LIONGEZWE ILI LIWAUMIZE CHADEMAKwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.
Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.
Yanga baba lao!
Mbowe member wa kandambili bwashee!Kumbe utopolo
Hakuna ubovu tutampelekea matokeo ya kigoma akiwa hukohuko ingawaje hatoyapendaMbowe member wa kandambili bwashee!
Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.
Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.
Yanga baba lao!
Wewe ni mbinafsi sana!Kama hiyo tozo ni kubwa kwako then usitumie miamala simple
Umewahi kufikiriKwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.