Kukamatwa kwa Mbowe kumetutoa kwenye hoja ya msingi ya Tozo za Miamala ya Simu

Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.

Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.

Yanga baba lao!
kwani chadema ndio walioleta tozo? wakilalamika si mnasema wanakosa uzalendo? subiri tuongee lugha moja kmmk ndio mtajua kuna umuhimu wa upinzani
 
Back
Top Bottom