Kukamatwa kwa Mbowe kumetutoa kwenye hoja ya msingi ya Tozo za Miamala ya Simu

Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.

Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.

Yanga baba lao!
Umesahau lile la kuhairishwa mechi ya simba na yanga,nyuma ya pazia kulikuwa na nini?
 
Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.

Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.

Yanga baba lao!
Hoja ya Katiba ni zaidi ya hiyo ya miamala. Aidha, sasa hivi hoja hiyo ya miamala inabebwa na UVCCM na nadhani Bakwata.

Waache Chadema watupambanie ili tupate Katiba Mpya na bora zaidi yenye manufaa kwa wote, isipokuwa pengine chama chako.

Amandla...
 
Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.

Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.

Yanga baba lao!

Kama hiyo tozo ni kubwa kwako then usitumie miamala simple
 
Kwanza nimpe pole mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.

Pili niwakumbushe Chadema bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.

Yanga baba lao!
Umewahi kufikiri
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom