johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,898
- 141,829
Kwanza nimpe pole Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.
Pili niwakumbushe CHADEMA bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.
Yanga baba lao!
Pili niwakumbushe CHADEMA bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha ama kwa makusudi au kwa kutokujua.
Yanga baba lao!