Kukamatwa kwa Chenge?

Status
Not open for further replies.

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,599
Leo asubuhi kulikuwa na thread yenye habari za Chenge kukamatwa. Nimejaribu kuitafuta sasa hivi siipati. Imepotelea wapi? Kama imefutwa ni kwa nini? Na kama kweli imefutwa kwa nini tusipewa taarifa?
 
Hata mimi hiyo thread niliiona asubuhi mapema nikawa nasubiri kwamba ikifika mchana habari zaidi zitapatikana. Ajabu nimekuja kuitafuta haipo, labda moderator kaiona ni kiini macho kaifuta!! Vinginevyo imefutawa kuficha aibu kwa mlengwa!!!
 
Chenge hajakamatwa. "Alionekana" katika ofisi za TAKUKURU leo na kuondoka. Kwa kawaida watuhumiwa wote walioshitakiwa na TAKUKURU huanzia pale Upanga (Takukuru) kabla ya kuambiwa wako chini ya ulinzi na kuacha magari yao ya kifahari. Liyumba, Mramba, Mgonja, Mahalu etc walifanywa hivyo lakini kwa leo Chenge alikua na safari "binafsi" pale TAKUKURU na hakwenda pale "KIKAZI". Naomba kuwasilisha
 
Mkuu umeniacha hoi! "Chenge" ambaye ni mtuhumiwa, anakuwa na "safari binafsi" kwa wale wanaomchunguza? Au ndo ule mchezo wa kuonekana kwenye ukumbi wa Bunge usiku? Au alienda kunyoosha mambo? Si mzee vijisenti anavyo na jamaa wa TAKUKURU njaa wanayo? Kwa hiyo naona kama mteja na mfanyabiashara wamekutana!!
 
Jamaa alisema walimdaka saa 10 alfajiri leo. We ulimwona saa ngapi? Inawezekana ndo alikuwa ameachiwa ulipomwona mida hiyo!
 
Naona kama kitendawili, akamatwe leo saa 10 usiku; na alipogonga bajaji na kuua wale vigoli wawili ilikuwa saa 10 usiku. Bungeni alionekana akinyunyiza juju saa 10 usiku, duuuu; huyu mzee wa usiku kwa usiku!!!
 
Mode ondoa hii kitu hapa inatupotezea muda....

Mkuu wewe ndo umeifuta ile thread ya awali? Hapa tumemwomba mod jibu. Kama si mod na huna jibu basi kasome nyingine. Mbona yako mambo mengi ambayo unaweza kuyaangalia ili kuoka muda wako?
 
Naona kama kitendawili, akamatwe leo saa 10 usiku; na alipogonga bajaji na kuua wale vigoli wawili ilikuwa saa 10 usiku. Bungeni alionekana akinyunyiza juju saa 10 usiku, duuuu; huyu mzee wa usiku kwa usiku!!!

Mama Mdogo kweli hapo umeniacha hoi,yani ni naiti kwa naiti.lol!
 
Naona kama kitendawili, akamatwe leo saa 10 usiku; na alipogonga bajaji na kuua wale vigoli wawili ilikuwa saa 10 usiku. Bungeni alionekana akinyunyiza juju saa 10 usiku, duuuu; huyu mzee wa usiku kwa usiku!!!

This is wat we call great thinkers Mama Mdogo....
 
Naona kama kitendawili, akamatwe leo saa 10 usiku; na alipogonga bajaji na kuua wale vigoli wawili ilikuwa saa 10 usiku. Bungeni alionekana akinyunyiza juju saa 10 usiku, duuuu; huyu mzee wa usiku kwa usiku!!!

...kwa maana hiyo tukitaka kufanikisha chochote kile kumfanya aachie huo ubunge wake inabidi tukifanye saa 10 usiku. Hata hii comment nilitakiwa niitoe saa kumi usiku....... na wewe kuisoma hii comment ulitakiwa ufanye saa 10 usiku. ..... pls do not reply to my comment till saa 10 usiku. :)
 
Na kazi zote hapa Tanzania inabidi zifanyike saa 10 usiku. Pia ofisi zifunguliwe wakati huo. Vibaka wa Mwananyamala na Tandika watatajirika mara moja tu kwani itabidi watu wawahi daladala kuanzia saa 8 usiku.
 
Naona kama kitendawili, akamatwe leo saa 10 usiku; na alipogonga bajaji na kuua wale vigoli wawili ilikuwa saa 10 usiku. Bungeni alionekana akinyunyiza juju saa 10 usiku, duuuu; huyu mzee wa usiku kwa usiku!!!

Madudu yote hutendeka usiku, si ajabu hata wale vigoli aliowagonga ilikuwa ni masharti ya mganga ili mitishamba ifanye kazi vizuri na kumuwezesha kuendelea kupeta uraiani. Maana yule kigoli mmoja inasemekana walikuwa na uhusiano wa karibu na Mzee wa Vijisenti. Kila akienda Mwanza basi hataki huduma toka kwa yeyote yule bali kigoli yule yule kila wakati! Labda alikuwa na tabasamu la kukata na shoka :), bahati mbaya hatukuwahi kuona sura yake.
 
Ungekuwa bongo ungesoma na kuona picha katika gazeti moja la udaku kuna picha ilipigwa pale ya nazi kunjwa iliyokuwa na damu kwahiyo inawezekana kulikuwa an shuguli kuu pale pamoja na yule muhindi
 
. Maana yule kigoli mmoja inasemekana walikuwa na uhusiano wa karibu na Mzee wa Vijisenti. Kila akienda Mwanza basi hataki huduma toka kwa yeyote yule bali kigoli yule yule kila wakati!.

Mkuu BAK....unataka kusema kwamba Chenge alikuwa ametoka kununua K?

Walikuwa na uhusiano? sasa ilikuwaje mchuchu akawa kwenye bajaji badala ya kupanda lile shangingi lake??

Au alimtanguliza kwenye bajaji ili akawagonge vizuri?

Duh....
 
Nilijua Mod ataiondoa ile thread, kwani ilikuja kizushi hivi. Aliyeiweka ile post humu ni member anayejiita CCMAsili, na ana historia ya kutunga habari. Hivi hamkumbuki kuwa aliwahi kuleta thread inayoripoti kifo cha celebrity mmoja wa Bongo? Hongera Mod kwa kuiondoa, na ikibidi aliyepost achukuliwe hatua kutokana na historia yake!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom