Kukamatwa kwa Chenge?

Status
Not open for further replies.
Yuko na demu gani saa hii. Hata hivyo hicho sio kiwanja chake.
Makonyagi acha fujo!
Eeka mbona umeuliza haraka ivo? Wivu au nin? naona hapa anamtomasatomasa mhudumu mmoja anamwalika waende naye dodoma wakati wa kikao fulani burhp! ops sory! kikao fulani cha bhunge. unadhani anaweza kumpakiza kibajaj wakifika dom?
Eeka nitajie viwanja vya huyu mlevi mwenzangu maana mara nyingi hunitoroka nikimwomba ofa
 
Heh!!!!!! hii kwangu ni mpya hapa jamvini!
 
Nilijua Mod ataiondoa ile thread, kwani ilikuja kizushi hivi. Aliyeiweka ile post humu ni member anayejiita CCMAsili, na ana historia ya kutunga habari. Hivi hamkumbuki kuwa aliwahi kuleta thread inayoripoti kifo cha celebrity mmoja wa Bongo? Hongera Mod kwa kuiondoa, na ikibidi aliyepost achukuliwe hatua kutokana na historia yake!!
 
Eeka mbona umeuliza haraka ivo? Wivu au nin? naona hapa anamtomasatomasa mhudumu mmoja anamwalika waende naye dodoma wakati wa kikao fulani burhp! ops sory! kikao fulani cha bhunge. unadhani anaweza kumpakiza kibajaj wakifika dom?
Eeka nitajie viwanja vya huyu mlevi mwenzangu maana mara nyingi hunitoroka nikimwomba ofa

Siku za karibuni amefungua baa nyumbani baada ya ile scandal ya wale wadada na bajaj.
Tangu alipotoka pale Kilimanjaro Kempisk hajaonekana viwanja vikubwa tena. labda ndo maana ameanza kuja Jackies.
Makonyagi sina wivu na wahudumu. Du lakini kweli huyu jamaa kwa ma barmaid kiboko,,,, hata kama yuko off siku hiyo ataitwa. Hebu huyo demu akienda kaunta mfate umuulize kama leo alitakiwa aje kazini. Kama haja-double cjui!
 
Nilijua Mod ataiondoa ile thread, kwani ilikuja kizushi hivi. Aliyeiweka ile post humu ni member anayejiita CCMAsili, na ana historia ya kutunga habari. Hivi hamkumbuki kuwa aliwahi kuleta thread inayoripoti kifo cha celebrity mmoja wa Bongo? Hongera Mod kwa kuiondoa, na ikibidi aliyepost achukuliwe hatua kutokana na historia yake!!

Poa Mkuu. Hapo sasa umenena. Kama mtu mwenyewe kumbe mzushi, ni sahihi mod kufuta thread zake na ikiwezekana afungiwe, asiweze kuleta tena umbeya wake.

Hata hii thread mod anaweza kuiondoa tu. Lakini ni vizuri kuwa na ki-utaratibu fulani cha kutoa taarifa kuwa thread imeondolewa au imefungwa na kwa nini. Kwa sababu watu tulioiona ile thread jana asubuhi tuliikimbilia mchana kutafuta updates kumbe ilishapigwa panga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom