Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

- Sasa Tanzania ni lini tuliingilia mambo ya ndani ya UK au USA? Madikteta huwa hawachaguliwi na wananchi wanajipachika tu madaraka, Tanzania hatujafikia huko poleni sana.

le Mutuz
Wewe le mutuzzzzz wewe!! Nani kakwambia kila dikteta lazima awe kajipachika tu? Unaelewa maana ya dictatorship au unajitoa ufahamu tu???
 
- Sasa Tanzania ni lini tuliingilia mambo ya ndani ya UK au USA? Madikteta huwa hawachaguliwi na wananchi wanajipachika tu madaraka, Tanzania hatujafikia huko poleni sana.

le Mutuz
le Mutuz, can you please list internal matters ambazo hatupaswi kuingiliwa?
 
CC zote katika hii barua wawe makini sana. Mpaka sasa wanaprobability kubwa sana ya kufikishwa ICC. Hawa watu hawahitaji Government Go support kufanya upelelezi na kugundua nani kahusika juu ya shambulio la lisu.

Hata walivyomkamata Osama, hawakutumia msaada wa serkal ya Afghanistan maana ilikuwa ni suspects no moja kumuhifadhi osama.
 
Wana JF,
Barua imekaa vizuri na inajitoshleza.
Je, hawa Viongozi wetu malimbukeni wataelewa...??? Nani atawasidia kufasiri huu ung'eng'e toka kwa Malkia?
JPM na watu wake wataelewa?? Ngoja tusubiri majibu ya waokota makopo......!!!
 
Akina le mutuz ndo wameagizwa kubwabwaja humu, ila hadi sasa kambi ya lumumba bado haijaelewa imeandikiwa nini. Wanaona majina yao tu kwenye barua
 
Kama TZ ilikuwa haitaki kufuata hio basi JPM aivunje tuu.Tuwe kama North Korea vile :eek:
 
Kwao huko Mbona walimuua Dodi Al fayeed kisa tu alikuwa Anamyonyoa Nyuchi Princes Diana!

Waliwahi kumyonga Mwandishi wa BBC aliefichua taarifa za Siri za Iraq wakadanganya Eti kajinyonga

Wanaua Watu Libya, Syria, na Maeneo kadhaa Duniani hawajawahi kuilima Barua Serikal Yao wala Nato
Mbona hawakumlima Barua Magu kwa Mauaji ya Kibiti?
Magu alishasema Yeye hapangiwi na ukijaribu kumpangia ndio umeharibu kabisa
Jibu hoja usitowe matusi bosi wako yuko kimnya kwa sababu huko ndiko anakotegemea misaada na mikopo ya viwanda
 
Kama TZ ilikuwa haitaki kufuata hio basi JPM aivunje tuu.Tuwe kama North Korea vile :eek:
Alikuwa ana beep sasa wanaanza kupiga.Mtu huyo anajitia eti haendi kwenye vikao vya hao jamaa.Un huendi...common wealth haupo.Halafu badu unawachokonoa kina ACCACIA kichwa kichwa.
Pabaya mnatupeleke ..mnashindwa kucheza kama Pele.Mnaenda enda tu kama mabuldoza yalikosa dereva.
Kisiwa cha amani kinachafuliwa na watu wachache ambao walikuwa wanauota uongozi.Hakuna wajinga sasa hivi.Hii ni karne ya 21.
Msione watu wanawapigia makofi mkajua kuwa mnaeleweka,kizazi cha matishirt na kofia kinaisha.Mnabaki na sisi ambao tupo nyuma ya Keyboard.Ambao ikitokea nguvu ya njee kubwa mmeisha.
Waulizeni Misri,Syria,Tunisia watu waliaanza kweny hii mitandao na wakahamia barabarani.
 
I knew an international uproar was coming. Matukio ya uvunjifu wa amani na haki za binadamu nchini yamezidi kwa kiwango kinachoishangaza dunia.
So what?
Kenya na wengibe wameshaandikiwa hii uliona wakitetemeka?
 
Alikuwa ana beep sasa wanaanza kupiga.Mtu huyo anajitia eti haendi kwenye vikao vya hao jamaa.Un huendi...common wealth haupo.Halafu badu unawachokonoa kina ACCACIA kichwa kichwa.
Pabaya mnatupeleke ..mnashindwa kucheza kama Pele.Mnaenda enda tu kama mabuldoza yalikosa dereva.
Kisiwa cha amani kinachafuliwa na watu wachache ambao walikuwa wanauota uongozi.Hakuna wajinga sasa hivi.Hii ni karne ya 21.
Msione watu wanawapigia makofi mkajua kuwa mnaeleweka,kizazi cha matishirt na kofia kinaisha.Mnabaki na sisi ambao tupo nyuma ya Keyboard.Ambao ikitokea nguvu ya njee kubwa mmeisha.
Waulizeni Misri,Syria,Tunisia watu waliaanza kweny hii mitandao na wakahamia barabarani.
Acho upuuzi wewe. Mbona jirani zetu mnaowaabudu sasa wameshaandikiwa na bado tunawaona wakikaidi?
 
Rwanda kila Siku Watu wanapigwa Chuma wakileta U maku maku, Kenya kapigwa Chuma Mkuu wa ICT wa Tume
Kama vikwazo angeanza kuwekewa Kagame!

Ethiopia kuanzia ya Meles Zenawi mpaka ya Sasa Watu wanapigwa Vyuma vya kichwa wakileta Udwanzi the same to Eritrea lakin Maisha yanaendelea!

Huko Africa ya Kati ndio usiseme kwa Ubabe, Wazungu wanajua haya Mambo kwa Africa ni ya kawaida sana sana
Haya ni maneno mazuri sana yakitokea kwako au kwa ndugu yako ndio utajua uzito wake sio kuropoka humu
 
The history is in the making and shall never be unwritten otherwise. Its better to bring in justice, for the history to be read better. Stubbornness shall bring no good in this. If someone think, this shall be forgotten, s/he is living in a stone age era.
 
KIBITI wameuawa kwa risasi watu wangapi ?
Hawa wanaojifanya wanaojifanya wanayaona haya leo, je, mauaji ya KIBITI hayakuonekana?
Huo ni ………………
 
KIBITI wameuawa kwa risasi watu wangapi ?
Hawa wanaojifanya wanaojifanya wanayaona haya leo, je, mauaji ya KIBITI hayakuonekana?
Huo ni ………………
Mauaji ya kibiti hayakuhamasishwa na viongozi wa kisiasa!!, bali uhalifu kama uhalifu. Kumbuka kauli ya kiongozi mkuu ni amri kwa vyombo vyake!! Sasa hebu tafuta clips mbili za makabidhiano ya makinikia usikilize bila mihemuko utajuwa wauaji wa Lissu ni kina nani?!
 
Rwanda kila Siku Watu wanapigwa Chuma wakileta U maku maku, Kenya kapigwa Chuma Mkuu wa ICT wa Tume
Kama vikwazo angeanza kuwekewa Kagame!

Ethiopia kuanzia ya Meles Zenawi mpaka ya Sasa Watu wanapigwa Vyuma vya kichwa wakileta Udwanzi the same to Eritrea lakin Maisha yanaendelea!

Huko Africa ya Kati ndio usiseme kwa Ubabe, Wazungu wanajua haya Mambo kwa Africa ni ya kawaida sana sana
Kwa hali hiyo una support tuanze kuwindana bila justice ?! Pohamba huu ushabiki wa itikadi utaiharibu nchi hii na sisi ni wa kupita tu!! Tusiwe vipofu kama Lissu ameandamwa na wahalifu wa kawaida, basi wasakwe wafikishwe mahakamani!! Sheria ichukuwe mkondo wake . Lakini si hii ya watu wengine kujiona wana haki na uhai wa watu wengine!!
 
Back
Top Bottom