Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

Hizo pesa wanazotoa ni mikopo hakuna cha bure, vya bure wanavyotoaga ni vyandarua na condom kwa kupitia NGOs zao zinazohamasisha ushoga, na uelewa hili tamko sio la serikali ya UK ni UWAMA wa UK ambao hata hawajui Tanzania ipo Bara gani.

"Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity" - Martin Luther King Jr
 
Kama wana hamu ya kuendesha kesi nje ya mamlaka yake wanatakiwa waende Burma kutetea Waislam wale wanapigwa kila siku na Mke wao yule.

Hizi barua za kuweka tu chooni au kutupa baharini.
 
I knew an international uproar was coming. Matukio ya uvunjifu wa amani na haki za binadamu nchini yamezidi kwa kiwango kinachoishangaza dunia.
Hivi kwa mfano, marekani wanapo washoot waafrika kwa ubaguzi, nan huwalima barua?
 
Nimeelewa ni kwa nini CCM wamepanik!

Mbunge anapigwa risasi 38 na hakufa hata kama angekuwa ni Tembo ingekufa lakini binadamu Tundu ni mzima!!!! Unbelievable, it's a miracle, he is Ayub of the Old Testament! Tundu alifika mbinguni(Heaven) na baada ya kuona yote yaliyopo kule, kaambiwa na Mungu arudi duniani kwani kazi aliyotumwa kufanyia Watanzania na ulimwengu kwa jumla bado hajafanya hata nusu yake, arudi kuendelea kwa bidii na kasi mpya, ari mpya na nguvu zaidi! Asante Mungu kwa afya nzuri ya Antipas.
 
Did this brit and Wales law society try to rise her eye lid on event of Black Americans 'massacre'?
Has she tried also to point a finger to her UK government on barbaric continuation of supporting Said Arabia militarily while this law society of so called Brit and wale is fully aware that Saudia is bombing indiscriminately poor Yemen people?
Did she really has a heart felt of US black matters, to mention a few?

I am very much concerned with the security of a very human being be a British , Tanzanian including Mh.Lissu.


Predictably, Magufuli administration's sympathizers, like you, are resorting to "whataboutism". You are not addressing the issue directly. Instead, you are pathetically trying to air your feelings about your perceived crimes of western nations that are rightly pointing out our current administration's failures to protect Tanzanians' safety and human rights.
 
Hili suala litaichafua nchi katika nyanja za kimataifa, maana budget zetu ni zaidi ya nusu tunawategemea wahisani.
 
Hivi hawa wa lawyer walimwandikia Malikia , pale Princess Diana alivyo kufa, Je walimwandikia Barua Tonny Blair, pale Robert Kelly mchnguzi wa Nuklia Iraq-Saadam hana uwezo au hana nuklia alivyo kufa?
Hivi wame waandikia serikali ya Uingereza waruhusu Assange aondoke UK bila kushikwa ?
Hivi Acacia walivyokuwa wanatupiga , waliwaandikia Barua? maana nasikia Acacia HQ ipo UK
Hivi walivyotupigaua RADA , napo waliandika Bar
Hatujui...ila wameandika Tundu Lissu alipopigwa risasi na 'wasiojulikana', na kwa hilo wamefanya jambo zuri sana.
 
MMmmmmm!!! jamaa hawa wana lao jambo. Wako very professional. Ukisoma Vizuri kisheria sheria hivi utaona kama wanaushahidi wa kutosha kuanza kuiminya serikali yetu.

Nchi kama Zimbambwe, Burundi na mifano kama hiyo, Mambo huanza kimchezo mchezo kama hivyo. na copy kusambazwa huku na huku. hao waliopelekewa copies wakianza kufunguka kwa nchi zao. Tutaona kimbembe na mbinyo wa waziwazi..

Rais wangu Magufuli Please slow down!! kuiokoa Nchi. Hata kama kuna makosa yalifanyika kabla nenda polepole kwa maana dunia hii ni sheria na uhuru na si ya mabavu na udicteta. Please!

Perfect, kwa mtu mwenye akili ya ziada barua hii sio nzuri sana, kuna baadhi ya maneno wameyatumia ambayo yanaonesha kuwa hata wao wanasuspect kuwa wahusika wanajulikana lakini hawakamatwi. Mfano wanasema, 'mpaka sasa hakuna arrests'.

Halafu wanapoandika wanatumia neno, 'we understand', maana yake yanayoendelea Tanzania wanayaelewa vizuri sana na wanamtask mkulu, kwa lugha ya kistaarabu, kufacilitate independent investigation (kwa sababu na wao hawana imani na serikali kutenda haki), huku wakitumia neno, 'immediately'.

Copy kuzisambaza sehemu mbalimbali ni njia ya kutoa taarifa kwa wahusika wengine muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu ili nao wafuatilie mambo haya na waone kama the government will take necessary actions.

La mwisho kwa kuwacopy ubalozi wa Uingereza Tanzania maana yake ni kuwa serikali ya UK imezipata taarifa hizi, na kama ninavyowafamu watu hao, mambo haya yanawekwa kwenye records, for proper actions.
 
Anaweza atutafsirie kwa KISWAHILI tafadhali, ili tusio elewa kimombo tupate angalau mwanga wa kilicho andikwa humo.
 
I knew an international uproar was coming. Matukio ya uvunjifu wa amani na haki za binadamu nchini yamezidi kwa kiwango kinachoishangaza dunia.

Yamezidi zaidi ya Maymar(Indonesia)
Yamezidi zaidi ya Palestine?
Yamezidi zaidi ya Congo?

Tujitahidi kuwa makini saana na hawa wenzetu, wameingilia saana..yametosha!

Ni vyema tukawa tunabishana wenyewe kwa wenyewe kuliko hawa jamaaa...Kuna vitu wanavikosa ndio maana inakuwa hivi

Turudi nyuma kwa tawala zilizopita; wapinzani hawakuanza leo kugandamizwa, kubishiwa, kupuuzwa na hata kuchukuliwa hatua... Vipi walikuwapo hao jamaa? Nini walisema kuhoji mamlaka? Unajua kwanini?

Sasa hili na haya ni ya kwetu, watuachie wenyewe tutajua ni kwa vipi tutamkamata mchawi...

TUFANYE KAZI!!!
 
Back
Top Bottom