Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

Kwanza Kabisa, mtu Yeyote akifanya kosa lolote a Apasia kuchukuliwa hata za Kisheria na sio kumiminiwa risasi. Serikali Yetu haiwezi Kaka a kutokuhusika kwa namna Moja au nyingine, kwa S.A. Babu zifuatazo:-
1. Imekuwa ikiagiza Tundu Lissu akamatwe kila akitamka Jambo linaloigusa.
2. Imekuwa kilio Tesha Churi ya Waziri kwa watu wanaosema ukweli, k.m. Ulimboka, Kubenea, Halima Mdee, Lowassa, n.k.
3. Haijafanya jitihada zozote za kuchangia matibabu ya Lissu (Bila Shaka Ili afe asiendelee Kusema Sema)
4. Udikteta unaonekana wazi na upendeleo wa kikabila. K.m. RC Makonda Kawawa Mungu-mtu.
Napenda kuikumbusha Serikali Yetu kwamba , uwepo wao madarakani umeruhusiwa na Mwenyezi Mungu uwepo kwa MUDA tu Hadi Hapo Serikali ya HAKI ya Mungu itakapochukua madaraka. Soma Warumi13:1-7 ; Danieli 2:44.
Hivyo Basi, Mungu wa Kweli, Muumba wa Mbingu na Dunia, aliyeruhusu Serikali hizi ziwepo, kwanza kabisa ANAWAONA, Pili ATACHUKUA HATUA . Hivyo ni vema wakatawala wakiwa na Hofu ya Mungu. Hi itawawezesha kujitahidi angalau kutenda haki.
Kwa yeyote asomaye ujumbe huu: Kama unaamini Biblia ni Neno la Mungu, utakubaliana nami kwamba, Shetani anaongoza mambo mengi duniani. Hasa kwa kuwa anatambua muda wake ni mchache: Tuiombee Nchi Yetu, Tumwombee Tundu Lissu, na tuiombee Serikali yetu, hasa viongozi. Mwisho wa mfumo huu wa mambo uko karibu. Asomaye na afahamu.
Tafadhali no 2. Kuna typing errors. Isomeke hivi: Imekuwa ikionyesha chuki ya wazi..............
 
watu wanakufa DRC hovyo,wanawake wanabakwa hovyo,sudan kusini watu wanakufa hovyo,siria watu wanakufa hovyo,somalia watu wanakufa hovyo iraki watu wanakufa hovyo hampi makelele!!! leo mnapigia makelele rais wetu !!!hovyo kabisa!!! mnataka kumfanya kama Gadafi au sadam hussein lakini hamtaweza!!! muulizeni OBAMA alipokuja kwetu Tanzania aliona nini katika ulimwengu wa Roho!! muuize TB joshua alipotua Dar aliona nini mpaka akavua viatu!!! waulize walikuwa wamejiapisha kwa mabaya februa 2016 kama walifanikiwa? Mungu yupo na kwa wazungu hao hayupo!!

waliwatesa mababu wetu kipindi cha ukoloni wanafikiria na sasa wataweza?

Siamini kuwa mtu anaweza kukaa na kuandika porojo kama hili. Yaani nilitaka kukujibu na kujaribu kukuelimisha lakini naona nitapoteza muda wangu, kwa hiyo nimeamua kukupa pole tu mtanzania mwenzangu, na i hope hamko wengi kama wewe nchini.
 
Hao wapuuzi waajiri wa vibaraka wote, watuambie kwanza Nani alimuua DODI ALFAYED mchumba wa DIANA vinginevyo wanabweka tu kama wabwekavyo mbwa koko wengine nyambaaf zao
Utafikiri watu hawasomi habari mitandaoni, kila kukicha polisi hasa weupe wanawafyeka weusi kule! Kesi zinafanyika, polisi wanaachiwa huru! Sasa sijuwi wale wanaweza kutupa haki gani hapa kwetu?!
Wananyanyasa weusi na kuwaua kukicha halafu eti sisi ndiyo tuwape imani ya kufanya uchunguzi TZ?! Uzuzu mbaya sana aise..
 
Maneno maneno hatutaki, waende huko, matamko kibao hakuna kilichofanyika tangu mtu aumie
 
Maneno maneno hatutaki, waende huko, matamko kibao hakuna kilichofanyika tangu mtu aumie
 
Maneno maneno hatutaki, waende huko, matamko kibao hakuna kilichofanyika tangu mtu aumie
 
Maneno maneno hatutaki, waende huko, matamko kibao hakuna kilichofanyika tangu mtu aumie
 
Tanzania is a sovereignity Country. Tanzania president has dipromacy immune. Nielewesheni maana ya hizi concept.
 
Back
Top Bottom