Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

Kwao huko Mbona walimuua Dodi Al fayeed kisa tu alikuwa Anamyonyoa Nyuchi Princes Diana!

Waliwahi kumyonga Mwandishi wa BBC aliefichua taarifa za Siri za Iraq wakadanganya Eti kajinyonga

Wanaua Watu Libya, Syria, na Maeneo kadhaa Duniani hawajawahi kuilima Barua Serikal Yao wala Nato
Mbona hawakumlima Barua Magu kwa Mauaji ya Kibiti?
Magu alishasema Yeye hapangiwi na ukijaribu kumpangia ndio umeharibu kabisa
 
Kwani itasaidia nn labda?! Tuanzie hapo kwanza.......
Hawa siyo wajinga. Huu unaweza kuwa ni mwanzo lakini ni kwaajili ya kuweka records. Tuangalie tulipojikwaa ili tujisahihishe.

Sisi siyo Iran wala North Korea, hatuna uwezo hata mdogo kabisa wa kuhimili nguvu ya Dunia. Na mbaya zaidi tunalaumiwa katika mambo ambayo hatukustahili kuyafanya, na yanatuudhi hata sisi wenyewe.
 
Back
Top Bottom