Kukaliwa na mwanamke

Kukaliwa na mwanamke

Ni upumbafu sana..... kuna mtu anadiriki kumgombeza mke wake kwenye simu kisa kaulizwa anarudi saa ngapi.....na kuna mtu alipigiwa simu na mke wake akapokea , "Yes baby"............"ok sweetie on my way" akamalizia bia iliyokua kwenye glas akasimama akaaga akaondoka.....alipotoondoka huku nyumba majaama yakaanza..ohh jamaa afurukuti kwa mke wake...oooh kakaliwa na mke wake...wengine oo siwezi kuishi maisha ya hivyo....na hao wanaoongea ni mabig looser tena wengine hata ni magay...they just think of nice shoes and designer outfits, they cant afford even a girlfriend.... ni mbaya sana.

Hahahaha benteke una upako leo, full busara jamani. Watu kama hao hawataki kuona wengine wanaishi kwa amani, kisa tu ndoa zao wao zimewashinda. We kama mkeo anakuheshimu, muheshimu pia. Yani mdekeze tu hadi watie akili. Watu msipatane tu na mkeo ooooh kainamishwa eeeh kwani uanaume ni kumdhalilisha mkeo??
 
benteke, lazma Kuna mdada unamtongoza humu. Hii si bure kabisa. Naamini kwa sredi hii ameshakupa maksi.
 
Last edited by a moderator:
Ni upumbafu sana..... kuna mtu anadiriki kumgombeza mke wake kwenye simu kisa kaulizwa anarudi saa ngapi.....na kuna mtu alipigiwa simu na mke wake akapokea , "Yes baby"............"ok sweetie on my way" akamalizia bia iliyokua kwenye glas akasimama akaaga akaondoka.....alipotoondoka huku nyumba majaama yakaanza..ohh jamaa afurukuti kwa mke wake...oooh kakaliwa na mke wake...wengine oo siwezi kuishi maisha ya hivyo....na hao wanaoongea ni mabig looser tena wengine hata ni magay...they just think of nice shoes and designer outfits, they cant afford even a girlfriend.... ni mbaya sana.

Such kind of people never get somewhere at all.....
 
unajua humu ndani tuna wachumba wetu na hii thread imesababishwa nianze kuulizwa eti "umemsikia mwenzio anavyosema baby!! nipe heshima yangu..." Banteke nikiachwa utaurudisha huu uchumba!!!
 
Last edited by a moderator:
Basi hiyo heading nilidhan inasema kukaliwa maybe mapajani
 
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye. Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic. Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni...tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana ---- na ukiangalia ligi ya ulaya sebleni kwako na mke wako unaonekana ---- pia...au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio sikatai usikae na washkaji lakini usipitilize sasa. Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia..jamani ?

Watu wazima with no upendo na heshima kwa wake zao.Mwanamke sio TOY
 
tinna mrembo.. sasa mwanaume hataki aulizwe yuko wapi na mke wake si kituko hicho. Tena napaaza sauti katikati ya wanaume wenzake. Ni ujinga sana. Sasa asiulizwe yuko wapi kwani yeye ni nani hapa daslam. Mengi mwenyewe anaulizwa na Jaki.

Majogoo yetu haya yana kazi sana........
 
Back
Top Bottom