The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
Sasa kwani tatizo liko wapi?
huoni au!!!!!
Sasa kwani tatizo liko wapi?
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washikaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.
Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic.
Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni, tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu, imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana na ukiangalia ligi ya ulaya sebuleni kwako na mke wako unaonekana pia au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja.
Huu ni upuuzi tubadilikeni jamani. Ndio sikatai usikae na washikaji lakini usipitilize sasa.
Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia.
huoni au!!!!!
Mie sioni tatizo hebu wewe niambie tatizo liko wapi?
Namsubiri aje sijui atajibu nini hahaha!
tatizo kubwa umeweka viatu badala ya macho!!!
unafikiri utaonaje...........!!!!!!!!!!!!
tinna mrembo.. sasa mwanaume hataki aulizwe yuko wapi na mke wake si kituko hicho. Tena napaaza sauti katikati ya wanaume wenzake. Ni ujinga sana. Sasa asiulizwe yuko wapi kwani yeye ni nani hapa daslam. Mengi mwenyewe anaulizwa na Jaki.
Hahahaha viatu ndo kila kitu kwangu
una akili nyingi sana Benteke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani kukaliwa vp mbona mi nimehisi hivyo pia!!!
we nae umewaza mbali sana jaman.... umetoka kumkalia naniliu nini
Nani me niko single 🙁🙁😀
enh yamekua hayo tena... mi nlijua miaka 800
Sina uhakika kama ntaifikia pia
Nani me niko single 🙁🙁😀
Bulldog njoo hukuUsikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washikaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.