Kukaliwa na mwanamke

Kukaliwa na mwanamke

Maana ya kukaliwa ni ipi haswa? Kuangalia mechi na mama ndani na kunywea bia 2 sebuleni? La hasha!

Kukaliwa iko mbele zaidi mkuu! Kufulia mke hadi nguo zake za ndani, kunyimwa msosi na wewe ndio umeleta! Kupigwa sachi na mkeo kila ukitoka kazini na kuchukua hela zote, kukudhalilisha mbele ya wanaume wenzio(mbaya sana hii), kumfungulia mlango usiku akitoka matembezi yake e.t.c

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Nafikiria nifanye hivyo ila kuna majamaa yamenikatisha tama yameniletea quotation utafikiri nafunga kiwandani..ntaenda kariakoo mwenyewe...ila asikuambie mtu nakesha nje usiku kucha kama mchawi. maana kuna vibaka balaa.

Mbwembwe zako nazo zinawatisha, wanajua unazo hautapunguzisha. Ukute ulikuwa unaongea nao huku unazungusha funguo za za gari kwa kidole!
 
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye. Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic. Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni...tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana ---- na ukiangalia ligi ya ulaya sebleni kwako na mke wako unaonekana ---- pia...au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio sikatai usikae na washkaji lakini usipitilize sasa. Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia..jamani ?

i get the point
 
Hilo unalolisema wewe umeliseme aupande mmoja. Mfano mie napenda mume awe mkali kwangu yaani mume soft touch simuwez kabisaa. napenda mumea ambaye akisema najua hapa hubby kasema na kwakauli hii siwez kwenda kulia ama kushoto. mwingine atasema mume wangu kanikali lakin ukweli si kwamba kanikalia ila ndo dizaini ya mtu nimpendae. uchagani wanawake hasa wa bibi kama siye tumelelewa kama wachapa kazi wa familia na ni ukweli bila kuamka na kwenda kufagia zizi la ngombe, nikamue, nilishe mifugo nipike chai ndipo nioge kwenda job sioni kama nimejitendea haki. na hii sio nalazimishwa najua kwamba ni wajibu wangu kila siku. kuna desturi za wengine wanaume ndio wasaidizi wa wake zao. na naomba niseme hili wazi \(muslim husbands wanaongoza kwa mapenzi ya dhati wka wake zao) wao ndo waenda sokoni, wanaokwenda kushop na wake zao wanakaa home kuzidi kupendeza. mie kwangu kati ya hii miwili sion kama ni kukaliwa unless kama mmojawapo atakuwa analalamika

Ndio maana nikasema kuhusu jamii, mifumo na "modern conceptualization" lakini pia kuna utashi wa kibinaadamu yaani hata wewe Manka huko Rau Kishumundu kuna extent ukipitiloza basi wenzako ndio watsema huyu jamaa amemkalia, anamfuja au anamtesa mkewe!!!!

Say kuna chama cha kina mama yeye hataki ujiunge, misibani anachagua yeye hapa nenda hapa hapana, harusini na sherehe ndio kabisaa yaani ndani tu kama utumbo!!!

Wao huko watakuwa na vipimo vyao vya nini kawaida, nini kudekezwa na nini kukaliwa wau kuteswa au kama hayo!!!!

Mijini humu yamo wake kwa waume wanakaliwa nimewahi pewa kisa kimoja Tanga jamaa anakaa nyumba ya urithi ya mkewe yaani akikohoa tu begi nje, akisema leo wali una kiini anaambiwa kama unajua sana ungejenga, akichelewa kurudi akifika mlangoni risala kwanza ndio afunguliwe tena inayegemea na majibu atayotoa la sivyo atachezea baridi nje!!!
 
Mbwembwe zako nazo zinawatisha, wanajua unazo hautapunguzisha. Ukute ulikuwa unaongea nao huku unazungusha funguo za za gari kwa kidole!

hahahaha....mwendo tu wanajua jamaa yuko safi. Mkuu nailinda vitz balaa. wakiiba tu hata tairi moja ni kama wamenikata mguu...dah. i cant do without my VITZ.
 
hahahaha....mwendo tu wanajua jamaa yuko safi. Mkuu nailinda vitz balaa. wakiiba tu hata tairi moja ni kama wamenikata mguu...dah. i cant do without my VITZ.

Safi kaka, unajua watu wakiona unatembea umekaa wanadhani unazo, kwa hiyo hata bei za vitu lazima wakupandishie!
 
Katika siku ulizoongea point ni leo.Hebu niambie utakuwa free weekend hii nikutoe japo dinner....lol
 
Mie hili swala la watu kukaliana ama akukaliwa sielewagi maana yake ni nini hasa. ila nikionacho ni kunawatu wanataka kujionyesha vidume kumbe hata kwenye udume hawapo. heshima haiji kwa kuwqa mwamba ama mbabe heshima inajengwa na aina ya uwajibikaji mtu alionao. Mbaya zaid kuwajibika kwenye maisha hakunaga kuwajibika kwa wastati its either you do it perfect or not perfect.

Its true,kwa kweli MTU wa kutumia ubabe wa kijinga simpi heshima hata kidogo
 
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye. Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic. Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni...tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana ---- na ukiangalia ligi ya ulaya sebleni kwako na mke wako unaonekana ---- pia...au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio sikatai usikae na washkaji lakini usipitilize sasa. Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia..jamani ?

heee makubwa ni maneno yako benteke au kuna mtu ame-huck account yako lol!! umekuwa aaaissseeee. big up
 
Na mara nyingi watu wanaojifanyaga hivyo "ooooh mimi mwanamke haniulizi nimetoka wapi" waongoo. Ndo hao hao wanaopigwa na wake zao mfyuuu. Kutaka tu kujionyesha ubabe kumbe apeche alolo
Sawa kuna vitu huwezi kunifanyia au hutaki me nikufanyie, ndo uende ukaropoke kwa watu?? Ili wakuone wewe mjeuri sana au?? Thubutu kukutwa na bwana pepsi
 
heee makubwa ni maneno yako benteke au kuna mtu ame-huck account yako lol!! umekuwa aaaissseeee. big up

hahahaha... annito niombe msamaha. This is the other side of me...ndio maana wasichana wananipenda sana, najua ku care na nimewasaidia mabraza wengi tu walikua na masifa ya kijinga bar. Mfano mmoja kuna braza mmoja amempa mtotowake jina langu. Kisa nilimsaidia sana kurejesha upendo ndoani kwake.
 
Last edited by a moderator:
Na mara nyingi watu wanaojifanyaga hivyo "ooooh mimi mwanamke haniulizi nimetoka wapi" waongoo. Ndo hao hao wanaopigwa na wake zao mfyuuu. Kutaka tu kujionyesha ubabe kumbe apeche alolo
Sawa kuna vitu huwezi kunifanyia au hutaki me nikufanyie, ndo uende ukaropoke kwa watu?? Ili wakuone wewe mjeuri sana au?? Thubutu kukutwa na bwana pepsi

Ni upumbafu sana..... kuna mtu anadiriki kumgombeza mke wake kwenye simu kisa kaulizwa anarudi saa ngapi.....na kuna mtu alipigiwa simu na mke wake akapokea , "Yes baby"............"ok sweetie on my way" akamalizia bia iliyokua kwenye glas akasimama akaaga akaondoka.....alipotoondoka huku nyumba majaama yakaanza..ohh jamaa afurukuti kwa mke wake...oooh kakaliwa na mke wake...wengine oo siwezi kuishi maisha ya hivyo....na hao wanaoongea ni mabig looser tena wengine hata ni magay...they just think of nice shoes and designer outfits, they cant afford even a girlfriend.... ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom