suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
ahahahha endelea kusubiri
Mi namsubiri tu.
Mi namsubiri tu.
Kwahiyo pesa ikionekana nyumbani ruksa kushinda bar siyo?
Unaonekana kwa kazi za nje huwa hujivungi.
nimekuuliza swali kutokana na ulichoandika pale juu ,,,,,,,,, siku nyingine uwe makini na uanachoandika.Unatakiwa kujua wewe ni nani na nafasi yako ni ipi kwenye familia. Kama unaona kutoa pesa na usiwepo home ni sawa. Lakini kuna wkt utafika hutaona marafiki wala nani ni hao wtt na mkeo so since ulikuwa unashinda bar na wao watakuona ni stranger kwenye maisha yao. Halafu utaanza kulalamika familia hainipendi
mara moja moja si mbaya.....kutuliza mzuka muhimu!
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washikaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.
Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic.
Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni, tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu, imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana na ukiangalia ligi ya ulaya sebuleni kwako na mke wako unaonekana pia au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja.
Huu ni upuuzi tubadilikeni jamani. Ndio sikatai usikae na washikaji lakini usipitilize sasa.
Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia.
The husband is the head of the family; the wife is the neck. 'And the neck turns the head.'
The husband is the head of the family; the wife is the neck. 'And the neck turns the head.'