Kukaa jinsia mbili tofauti kwenye seat ya bus

wu1Q21NHEwlwgAAAABJRU5ErkJggg==
hii sasa ndio dawa yenu mnao penda kugusa bambataa za kina dada kwenye gari!!!
 
sijui nina damu ya kunguni!,yaan kla safar lazma nikae na kizee au kiajuza,duu ni noma 2pu!

Dah, pole.
Ila mwambie yule mkatisha tiketi kuwa akija mdada mzuri akuweke nae.
Mbona wengi hufanya hvo.
 
bado sijabahatika kukaa na jinsi ya kike kwene safari zote nilizowahi kusafiri ila nataman siku moja itokee maana watu wanavyotoa mawazo yao humu inaonekana kuna raha yake sana
 
hahahaha umenikumbusha nilipanda na mama wa kisukuma. Ye anafkiri wote tunajua kisukuma basi mwanzo mwisho ni "hii bhabha umekujamooh-jashilaga! telakawiza getegete"

Sasa mtundu lazima utakuwa unajua hiyo lugha
 
Daah kaka umenifanya nicheke sana,,,ina maana mkikaa jinsia moja hamuwezi kubadilishana mawazo au kubadilishana namba za simu???


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mimi SINA BAHATI kabisa yaani ukitangulia kwenye seat utaashangaa kitakacho kuja! Akiingia binti mzuri unasema labda ndio hyu anapita huyooooooooooooooooooo! Halafu inakuja ndume moja au maza fulani kapakata kuku wakinenyeji ana watoto kama wa 3 hivi. Patamu

HaHAHAHAAHAHAAAAAAA!!!Umenichekesha sana, halafu ana watoto wote hao anachukua siti moja, pia anakuomba msaada wa kumsaidia kubeba mmoja, mkifika kati kati ya safari anakukojolea, halafu yule mama anachukua khanga yake chafuuuu anakufuta nayo huku anakuomba msamaa, sijui utafanyaje?
 
HaHAHAHAAHAHAAAAAAA!!!Umenichekesha sana, halafu ana watoto wote hao anachukua siti moja, pia anakuomba msaada wa kumsaidia kubeba mmoja, mkifika kati kati ya safari anakukojolea, halafu yule mama anachukua khanga yake chafuuuu anakufuta nayo huku anakuomba msamaa, sijui utafanyaje?

Kiboko yake awe na na watoto halafu wana kuku! Kuku anawekwa chini ya siti anakunya unakanyaga mavi ya kuku! Yaani unaweza shukia njiani kabla huafika
 
wanawake hawapendani, huo ndiyo ukweli jumapili iliyopita nilikuwa safarini gari likawa limejaza sana kuna dada mmoja akaanguka nadhani anamatatizo ya moyo basi tulijikuta wanaume kama wanne tuna mhangaikia kama kumkalisha tulipokuwa tumekaa sisi huku tukimpepea wangine wakimumwesha maji wengine wakifungua madirisha maana pamoja na gari kujaza watu walikuwa wamefunga madirisha mpaka anapata fahamu yule dada hakuna mwanamke aliesogeza pua...kwa uzoefu wangu nikosafiri halafu nilie kaanae awe chadema basi safari yangu huwa njema sana kwanza tunatungumzia maisha, siasa, biashara...nikikuta -------- yaani ccm nitaomba kuhamishwa maana kama natoka Arusha naenda mbeya ama Mwanza njiani naweza mtandika makofi hasa nikijionea watu wanavyoteseka mikoani...

Mh, mkuu umenichekesha sana hapo kwenye Bold! Du, piga picha unasafiri na kagari kako halafu njiani unakutana na Mwigulu au nape kaharibikiwa na gari lake, hivi utamsaidia?
 
Booking officers huwa nawaambia kabisa wanipe siti atayokaa mrembo, kwa style hii nishawapata wawili na mmoja nategemea kumuoa
 
Mimi nilikaa na dada mmoja matata sana wakati naelekea Marangu mtoni a couple of months ago. Aisee ilibidi novel niweke pembeni na my Soul by Ludacris SL300-headphones niweze anzisha story. Yaan within minutes tulikua tunapiga story kama tumejuana miaka, and up to know we keep in touch.
 
Kwenye gazeti la leo la Mwanaspoti kuna makala ya mwandishi (Lyassa) ambayo amenakili maelezo ya wiseboy na wachangiaji wengine kana kwamba ni utafiti wake.
 
Last edited by a moderator:
Aisee hizi fursa sizitumiagi vizuri afu nakujaga kujta mwisho wa safari,fastjet nahisi anapunguza raha ya hii kitu safari inakua fupi zaidi! Napaswa nitengeneze safari kuelekea kigoma very soon!
 
Kwenye gazeti la leo la Mwanaspoti kuna makala ya mwandishi (Lyassa) ambayo amenakili maelezo ya wiseboy na wachangiaji wengine kana kwamba ni utafiti wake.
MKUU huyo lyassa inawezekana ndo huyohuyo wiseboy so usimind sana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom