Kukaa jinsia mbili tofauti kwenye seat ya bus

Tunatofautiana. Mie nikisafiri siwezi piga stori. Safari nzima kusoma. Kama ni Arusha-Dar nafika nimemaliza kurasa 400. Hiace mjini na foleni hizi, The East African linaisha.

Haya mambo ya kurupukia mazungumzo na mtu usiyemfahamu si kwa kila mtu. Mnasalimiana briefly then kila mtu na lwake unless kuna cha kuulizana on the way.
 
Ngoja niwape mbinu iwasaidie ninyi wana MMU. Ukitaka kusafiri mfank unaenda mwanza.. Jitahidi kuwahi kukata tiket ila usiwahi saaaana. Ukifika kwa ofisi ya kukatia tiket usiwe na aibu.. We mwambie mkataji kuwa unahitaji kukaa na mrembo. Yeye atakupangia siti swaafi. Na kama we ni mteja wao wala hupati shida ukifika tu wanakuonyesha mrembo amekaa siti gani then wanakupa siti next to her. Kama wakina dada hamna aibu mwaweza kutumia hii mbinu yangu ambayo huwa inanisaidia kuondoka na namba ya simu mwisho wa safari..
 
Nlivokuwa kijana nlikuwa napenda kukaa na videm mpaka ilipotokea cku moja nilipokaa na kidemu kinaachia ushuzi njia nzima. Bahati mbaya kwangu kila harufu inapozagaa abiria wanageuka kuniangalia mimi as if videmu havijambagi.

Tangu wakati huo kwenye siti nakaa na mpiga viroba mwenzangu. Mwisho wa safari hakuna haja tena ya kwenda bar.

Haahahaaa babu Asprin umenchekesha jamani!!!!!

kweli JF raha aisee..........
 
Last edited by a moderator:
Yaan hii mada imenigusa erooo, mi ndo muathirika wa kwanza, huwa nipo tayari hata kumpa pesa yule mkata tikiti ili anitafutie siti yenye sster du au hata limaza!!!!
Ni juz tu nilikua natoka Arusha kwenda Dar, Mungu si athuman, kaniwezesha kukaa siti moja na sster duh mmoja,,
Safari ilikua safari ya ukwelii....
 
Haahahaaa babu Asprin umenchekesha jamani!!!!!

kweli JF raha aisee..........

Siku moja nlikaa na sista. Akaniuliza kama mimi ni mkatoliki nikakosea kumjibu ndio. İlikuwa rozari na mahubiri njia nzima. Nikisinzia afu basi likiyumba kidogo naamshwa tupige rozari.

İle sala naamini sina haja ya kusali tena mpaka mwaka 2015.
 
Last edited by a moderator:
Mimi SINA BAHATI kabisa yaani ukitangulia kwenye seat utaashangaa kitakacho kuja! Akiingia binti mzuri unasema labda ndio hyu anapita huyooooooooooooooooooo! Halafu inakuja ndume moja au maza fulani kapakata kuku wakinenyeji ana watoto kama wa 3 hivi. Patamu

Niliwai kaa na mmaza mmoja! Duuuh aliniganda nakagundua huyu anataka kuniacha....
 
raha sana kukaa na different sex bwana!! yani ile kugusana tu unakuta kuna reaction flani inatokea!!

sasa zaidi zaidi ni kwenye gari zileeeee za kushika bomba...!! mbona ukiwa mdhaifu unajimwagia kabisa!!

chezea ukame wewe!!!
 
Kikongwe sio mtu? Anaweza kukupa siri ya kuishi mda mrefu, jinsi ya kuishi na mmeo miaka mingi(on-hand experience), hayo ni 9; 10 ni kuwa huenda pia ukaja kuwa kikongwe...vijana wakukimbie?

critical n good advc!!!
 
Mimi SINA BAHATI kabisa yaani ukitangulia kwenye seat utaashangaa kitakacho kuja! Akiingia binti mzuri unasema labda ndio hyu anapita huyooooooooooooooooooo! Halafu inakuja ndume moja au maza fulani kapakata kuku wakinenyeji ana watoto kama wa 3 hivi. Patamu

hahahahaaaa hii pia imewahi kunikuta pale pale hata kabla hajakaa anakuambia imsaidie kumshikia kifurushi chake apakate mtoto ambaye baada ya muda a ahamia kwako umbebe mara analala kabisa miguuni
 
Pata picha siti ya mbele yako kuna m/me chapombe na mama mlokole au ustadhat kutoka dar hadi mwanza au Arusha.
 
Mimi SINA BAHATI kabisa yaani ukitangulia kwenye seat utaashangaa kitakacho kuja! Akiingia binti mzuri unasema labda ndio hyu anapita huyooooooooooooooooooo! Halafu inakuja ndume moja au maza fulani kapakata kuku wakinenyeji ana watoto kama wa 3 hivi. Patamu

hahaha hapa umeua.
Next time ukisafiri iatabidi uulize kabisa wakupe siti yenye kabinti.
 
Njemba hazikawii kujifanya zimesinzia halafu zinapeleka mkono kiaina aina kwenye paja au titi lol! Mdada akitulia tu bila kutia neno imekula kwake....Chezeya Njemba Weye!!!!

Mie kwa kweli sipendi nisafiri afu nikae siti moja na kikongwe au mzee.
Nafarijika sana nikaapo na kijana mwenzangu tena mwenye jinsia tofauti, maana mtabadilishana mawazo na mambo mengineyo.

Kwa kweli wiseboy, hebu pata picha unaelekea Mwanza au Musoma au hata Arusha, afu wapangwa siti moja na kibibi kizee, utapiga stori nae gani?
 
Inategemea na hulka tu ya mtu waweza kaa na msichana au mvulana ukajua umepata kumbe umekalia mtego;

1. Mara naomba nione simu yako anaingia mpaka inbox mimacho kodooo mara huyo gallery na hapepesi macho.,eenhe hawa kina nani nielekeze jirani????!!!!!!

2. Hamjafika mbali eti kaka/ dada tukifika wapi na mimi ntakaa huko dirishani? ?!!!!

3. Mara kalala kila saa anakulalia,hapo hujalikuta bonge sasa ukasafiri umekalia nyama moja!!! Kalalia ulabu ananuka pwinhaaaaa!!!!!!

4. Kasafiri na kisirani kanuna hazungumzi na hatafuni hata chewing gum akikuambia tu naomba kupita domo limechachaaaa
Hahaha usiombwe kukutwa...
na ile kila gari likisimama ananunua vitu,mara mahnd mara ndizi,usiombe anunue mayai sasa uwii!
 
Acha hizo madam B. Ukihamua kumtumia vizuri huyo kikonge utapata mengi tu toka kwake kwani kala chumvi nyingi na ana mengi kuhusu maisha. Bora tu awe msafi sababu mandhari ya mwili isipokuwa safi safari yaweza kugeuka shubiri! But generally, tabia ya mwanaume au mwanaumke kuvutika kukaa au kuongea na opposite sex is more biological hata watoto wenyewe wanakuwa more close na opposite sex parents than those of their sex.


Mie kwa kweli sipendi nisafiri afu nikae siti moja na kikongwe au mzee.
Nafarijika sana nikaapo na kijana mwenzangu tena mwenye jinsia tofauti, maana mtabadilishana mawazo na mambo mengineyo.

Kwa kweli wiseboy, hebu pata picha unaelekea Mwanza au Musoma au hata Arusha, afu wapangwa siti moja na kibibi kizee, utapiga stori nae gani?
 
Vyovyote fresh tu alimladi nifike salama, japo watu wengine hata salam ni ishu
 
pata picha unaenda safari mbali umekaa na mama mwenye watoto wadogo wawili....mara huyu kanyaaa,mara huyu kakumwagia juice,mara unakula kiepe chako huyu kadokoa aaah mara kalilia soda yako,mara mama kakuoomba umsikie mmoja aaah safari inakuwa ndefu sana,ukisafiri na sister du afu we uwe msela ndo raha,maana atanunua kuku mzima mara kashindwa kumaliza akikwambia kribu tu mzee unachomoka na paja hahaaa yeye unamuachia kipapatio,ila ukiwa braza men afu umekaa na demu msela kama wa chuga utakoma....MI ZANGU NIKIKAA NA DEMU KAMA NASAFIRI ARUSHA DAR,MPAKA TUPITE SEHEMU ZA KULA NDO NAAZISHA STORY,nisije nikaaribu bajeti zangu

hii ndo nimeikubali mi nanunua soda mbili tu moja yangu moja ya seat mate na hii ni kama yuko vizuri tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom