Kujulikana ni raha au karaha?

Kujulikana ni raha au karaha?

hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwii sasa naona unaniweka kikaangioni haya hongera zako mm niko jiji la mama hapa tz
Upo dar es salaam tanzania mitaa hiyo nimeishi sana mbezi makabe unakufaamu uko😂😂😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 mhuni wewe!!!!
ahaaaaaa jamani acha kusema hivyo mm kule napita wakati basi limekwamba kupita uhasibu ndo wanachepukia njia za ajabu ajabu kama hizo hahaaaaaaaa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Habarini wadau wa humu.

Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa.

Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito.

Wasalamu
Ladyf
Shida sana hasa kwenye kuombwa hela wallah
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

ahaaaaaa jamani acha kusema hivyo mm kule napita wakati basi limekwamba kupita uhasibu ndo wanachepukia njia za ajabu ajabu kama hizo hahaaaaaaaa
 
Habarini wadau wa humu.

Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa.

Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito.

Wasalamu
Ladyf
Kujulikana kubaya ni kule ambako watu wengi wanakujua alafu wewe huwajui na hujawahi kukutana nao kabisa.

Mfano kujiposti mitandaoni wanaokuona na kukujua wapo wengi kuliko ambao hawakujui,hivyo kujulikana huku ni upuuzi kwa sababu unaweza kutaka kufanya mishe zako kwa kificho kumbe kuna watu wanakujua ila wewe huwajui wanakuona.

Ila ukiwa kazini bila shaka watakaokujua na wewe utawajuaa kwa sababu utakuwa unaonana nao na kuna miamala mtakuwa mnafanya ya kimaisha,huku hakuna shida kabisa.

Mimi sipendi kabisa mtu ambaye simjui sijawahi kumuona wala kukutana nae na wala shusiani nae chochote katika nyanja ya kimaisha basi sitaki aanijue mtu huyo.

Huko ndio kujulikana kwa karaha.
 
Back
Top Bottom