Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,810
- 218,467
Hii kauli aliitoa mheshiwa Kikwete katika kampeni maalum iliyofanyika kwenye viwanja vya mnazi mmoja wakati akihamasisha wananchi kupima virusi vya UKIMWI kwa hiyari yao.
Kwamba wakijua mapema kama wameathirika ni rahisi hata kujilinda au kutibu magonjwa nyemelezi , sasa hapa JF kuna sintofahamu ya kutoweka hewani kwa JF hasa kwenye kipindi muhimu kama hiki cha uchaguzi.
Kkwa madai ya JF kushambuliwa , tunaomba viongozi mtufafanulie ni kipi kinaikumba JF? Je ni akina nani wanahujumu JF?
Je wanafanya hivi kwa manufaa ya nani ? Na ni kwanini leo yanatokea haya ? Najua hapa JF kuna mabingwa wa vitengo vyote ni bora mkaweka wazi ili wadau washauriane hatua za kuchukua , ninao uhakika tutashinda .