Ni nani anaihujumu JamiiForums?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,809
218,464
Rais mstaafu wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati akihamasisha wananchi kupima Ukimwi kwa hiyari , alisema hivi , nanukuu , " KUJUA TATIZO NI NUSU YA JAWABU " Mwisho wa kunukuu .

Kwa tafsiri yangu maana ya Mh Kikwete kwenye kauli ile ilikuwa kwamba ukishajua kama una Ukimwi basi angalau ungeweza kujitambua na kuchukua hatua za kujiepusha na hatari zaidi pamoja na magonjwa nyemelezi ili uweze kuishi kwa muda mrefu zaidi.

Imekuwa kawaida sasa kwa JAMIIFORUMS kuhujumiwa panapokuwa na Tukio kubwa la kitaifa , Jf ambako kila chama na wapiga debe wao wanatumia kujieleza na kumwaga propaganda zao , inakuwaje ihujumiwe , ni nani anayefanya hivi , kwa manufaa ya nani ?

Sitaki kuamini kama TCRA wenye verified a/c hapa na wanaotumia jf kueleza mambo yao wanahusika , Ni vema sasa wakuu tukamfahamu kwa majina yote matatu anayeihujumu jf ili tujue namna ya kumdhibiti , Jf ni rafiki wa kila mtu wakiwemo viongozi na mawaziri kadhaa , Jf imetumika hata kuokoa maisha ya baadhi ya mawaziri na viongozi , ubaya wake ni nini ?
 
Mwenye jf ni pamoja na wewe , hawa akina Mello ni viongozi tu , tusaidiane kumfahamu adui
kweli mkuu.
dunia nzima ya mitandao ya kijamii, mimi ni JF addict wakinizimia narudi analogia.
ninachofahamu katika ulimwengu wa usalama mitandaoni hakuna haja ya kutafuta nani adui zaidi ya kujiimarisha.
NSA ilishawahi kuzinguliwa na dogo mmoja tu wa australia (hacker miaka ya 90) hata kabla ya cyber crime duniani haijafikiliwa sembuse kaJF ketu mkuu
Ushauri wangu wakuu wa JF wajipange, waboreshe mifumo yao ikiwa wanazima wao kwa sababu zilizonje ya uwezo wao pia watujuze.
 
Rais mstaafu wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati akihamasisha wananchi kupima Ukimwi kwa hiyari , alisema hivi , nanukuu , " KUJUA TATIZO NI NUSU YA JAWABU " Mwisho wa kunukuu .

Kwa tafsiri yangu maana ya Mh Kikwete kwenye kauli ile ilikuwa kwamba ukishajua kama una Ukimwi basi angalau ungeweza kujitambua na kuchukua hatua za kujiepusha na hatari zaidi pamoja na magonjwa nyemelezi ili uweze kuishi kwa muda mrefu zaidi.

Imekuwa kawaida sasa kwa JAMIIFORUMS kuhujumiwa panapokuwa na Tukio kubwa la kitaifa , Jf ambako kila chama na wapiga debe wao wanatumia kujieleza na kumwaga propaganda zao , inakuwaje ihujumiwe , ni nani anayefanya hivi , kwa manufaa ya nani ?

Sitaki kuamini kama TCRA wenye verified a/c hapa na wanaotumia jf kueleza mambo yao wanahusika , Ni vema sasa wakuu tukamfahamu kwa majina yote matatu anayeihujumu jf ili tujue namna ya kumdhibiti , Jf ni rafiki wa kila mtu wakiwemo viongozi na mawaziri kadhaa , Jf imetumika hata kuokoa maisha ya baadhi ya mawaziri na viongozi , ubaya wake ni nini ?
Wasiyo julikana kama waliweza kumumiminia lisasi Lissu watashindwa nini?
 
ddos attack kutokana na weak security.
Pata elimu kidogo

Types of DDoS Attacks
There are many types of DDoS attacks. Common attacks include the following:

  • Traffic attacks: Traffic flooding attacks send a huge volume of TCP, UDP and ICPM packets to the target. Legitimate requests get lost and these attacks may be accompanied by malware exploitation.
  • Bandwidth attacks: This DDos attack overloads the target with massive amounts of junk data. This results in a loss of network bandwidth and equipment resources and can lead to a complete denial of service.
  • Application attacks: Application-layer data messages can deplete resources in the application layer, leaving the target's system services unavailable.
 
anayefanyia haya jf , ambayo wewe mwanaccm unaitumia kupata elfu 7 zako ni nani ?

Sijui kama wadau mnanielewa , nafahamu kuna mashambulizi , lakini anayeshambulia JF ni nani na kwanini ?
 
acha upungufu wa akili. Kama hujui mambo katika ulimwengu wa Internet ni bora ukakaa kimya. Website ni public service kila mmoja anaweza akajaribu hata wale wanaosoma hacking wanaweza wakafanya study kwa kutumia system yako. Ukishaona hacker wame tia timu wewe jiandae kuzuia. Au jua weakness yako kisha solve.
Hata FB, IG, Tweeter nk wameweka security ya kufa mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom