Kujua tatizo ni nusu ya jawabu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,295
Hii kauli aliitoa mheshiwa Kikwete katika kampeni maalum iliyofanyika kwenye viwanja vya mnazi mmoja wakati akihamasisha wananchi kupima virusi vya UKIMWI kwa hiyari yao.

Kwamba wakijua mapema kama wameathirika ni rahisi hata kujilinda au kutibu magonjwa nyemelezi , sasa hapa JF kuna sintofahamu ya kutoweka hewani kwa JF hasa kwenye kipindi muhimu kama hiki cha uchaguzi.

Kkwa madai ya JF kushambuliwa , tunaomba viongozi mtufafanulie ni kipi kinaikumba JF? Je ni akina nani wanahujumu JF?

Je wanafanya hivi kwa manufaa ya nani ? Na ni kwanini leo yanatokea haya ? Najua hapa JF kuna mabingwa wa vitengo vyote ni bora mkaweka wazi ili wadau washauriane hatua za kuchukua , ninao uhakika tutashinda .
 
Kijana hebu punguza jazba basi. Hayo mambo ni yakawaida sana hasa kwenye ulimwengu wa siasa.

Hayo yaliwahi kutokea toka enzi na enzi hasa pale chombo cha habar kinagusa tabaka tawala na kuhoji mambo mengi.'' lakn hyo ni kitendo baada ya section kushambuliwa'' jf imejipanga upya na mapambano yanaendelea kwa wale wababe wa kivita wanajua.

Hebu tupe mrejesho wa mwanyamaki na mwakyembe
 
Sheria inakataza kujadili yaliyo mahakamani , nitajadili kama tu utanihakikishia kwamba jf ni mhimili unaojitegemea .
 
Ingekuwa vema kwa moderators mkija na ufafanuzi hapa ili kupooza wadau , ni swali linaloulizwa na watu wengi sana japokuwa hawana ujasiri wa kuandika .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom