Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.
Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mjini na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.
Ha ha haaaa!, umetonesha kidonda!, viongozi walishaweka hati miliki ya majimbo,ukimuona Lukuvi,Nchemba,Nkamia,Komba nk wakitukana,ujue wamewasoma wapiga kura wao,Lakini upepo wa Mansoon huwa upo,tusifike Malawi!!Yaani kama umesukumizwa na kushurutishwa! !!!!!!
Kaangalie sababu za kuvunjwa baraza la mawaziri halafu peleka ujumbe huko!!!!
Ndugu yangu huyu jamaa muache tu ana matatizo ambayo hapa JF inabidi tumuombee. Huwa anakurukupuka na mada za kutaka watu wamtukane for attention seeking.Nadhani wewe si A4 tena ni A5,je unamjua mbunge wa Singida mjini?
Nadhani wewe si A4 tena ni A5,je unamjua mbunge wa Singida mjini?
Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.
Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mjini na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.
Ndugu yangu huyu jamaa muache tu ana matatizo ambayo hapa JF inabidi tumuombee. Huwa anakurukupuka na mada za kutaka watu wamtukane for attention seeking.
Niko kazini kijana napiga kazi. Leta point humu jukwaani acha ushamba na umbumbumbu wa siasaYahaya!
Niko kazini kijana napiga kazi. Leta point humu jukwaani acha ushamba na umbumbumbu wa siasa
Mbona unabadili mada na kujitekenya mwenyewe? Kama vile nashbindwa kuelewa vile!!! Hivi interahamwe ni kina nani vile? Naomba ukamnukuu Prof. Lipumba BMKsawa interahamwe, hata mimi najua upo kazini na unafanya kazi uliyotumwa na kina dj Mbowe a.k.a f6 failure humu jukwaani!
Yaani kama umesukumizwa na kushurutishwa! !!!!!!
Kaangalie sababu za kuvunjwa baraza la mawaziri halafu peleka ujumbe huko!!!!
Mbona unabadili mada na kujitekenya mwenyewe? Kama vile nashbindwa kuelewa vile!!! Hivi interahamwe ni kina nani vile? Naomba ukamnukuu Prof. Lipumba BMK
Mkuu utapoteza muda wako kubishana na mtu kama huyo ambaye hamjui hata mbunge wa Singida mjini .Nahisi hata mbunge wake hamjui.
Nikweli kaka huyu mbulumbundi haeleweki anawazaga nini.Mkuu utapoteza muda wako kubishana na mtu kama huyo ambaye hamjui hata mbunge wa Singida mjini .Nahisi hata mbunge wake hamjui.