Kujiua kwa Naibu Waziri kwa kushindwa kutetea kiti cha Ubunge ni Salamu kwa Mawaziri Vivuli...

A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
671
0
Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.

Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mashariki na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Yaani kama umesukumizwa na kushurutishwa! !!!!!!

Kaangalie sababu za kuvunjwa baraza la mawaziri halafu peleka ujumbe huko!!!!
 
Walas Ba

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
3,245
2,000
Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.

Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mjini na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.

Kwaio dewji ni waziri kivuli?
 
xenaxena

JF-Expert Member
May 20, 2014
2,237
1,500
Yaani kama umesukumizwa na kushurutishwa! !!!!!!

Kaangalie sababu za kuvunjwa baraza la mawaziri halafu peleka ujumbe huko!!!!
Ha ha haaaa!, umetonesha kidonda!, viongozi walishaweka hati miliki ya majimbo,ukimuona Lukuvi,Nchemba,Nkamia,Komba nk wakitukana,ujue wamewasoma wapiga kura wao,Lakini upepo wa Mansoon huwa upo,tusifike Malawi!!
 
Fukara

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,516
2,000
najua unafikili mbunge wa singida mjini ni chadema kama ilivyo arusha mjini,kajipange upya mbuge wa singida mjini ni mohamed dewji wa ccm,aya sema kingine.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,666
2,000
Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.

Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mjini na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.

kichwa chako kimejaa mavi!!!!!!!
 
A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
671
0
Niko kazini kijana napiga kazi. Leta point humu jukwaani acha ushamba na umbumbumbu wa siasa

sawa interahamwe, hata mimi najua upo kazini na unafanya kazi uliyotumwa na kina dj Mbowe a.k.a f6 failure humu jukwaani!
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,235
2,000
sawa interahamwe, hata mimi najua upo kazini na unafanya kazi uliyotumwa na kina dj Mbowe a.k.a f6 failure humu jukwaani!
Mbona unabadili mada na kujitekenya mwenyewe? Kama vile nashbindwa kuelewa vile!!! Hivi interahamwe ni kina nani vile? Naomba ukamnukuu Prof. Lipumba BMK
 
MAN FROM PAWAGA

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
248
0
Yaani kama umesukumizwa na kushurutishwa! !!!!!!

Kaangalie sababu za kuvunjwa baraza la mawaziri halafu peleka ujumbe huko!!!!

Wewe ndiyo kihiyo kwani baraza lilivunjwa lini?sema mabadiliko ya baraza.huwezi kuvunja baraza pm akabaki!punguza kupumuliwa.
 
A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
671
0
Mkuu utapoteza muda wako kubishana na mtu kama huyo ambaye hamjui hata mbunge wa Singida mjini .Nahisi hata mbunge wake hamjui.

soma thread vizuri wakuu, nimeandika mbunge wa singida mashariki au nawe ni div 5 hata kusoma ni shida?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom