Kujiua kwa Naibu Waziri kwa kushindwa kutetea kiti cha Ubunge ni Salamu kwa Mawaziri Vivuli...

Maana mara ya kwanza kwenye bandiko lako uliandika Singida mjini ndipo hapo watu walipoanza kukutilia shaka wewe mwandishi.Kumalizia mjadala huu mimi na wewe ,napenda kukushukuru kwa kuwa muelewa na kulifanyia uhariri wa bandiko lako.Sasa naomba tuendelee na maudhui ya bandiko lako.

mkuu ni kwamba, watu wamesoma thread zingine then wanachangia huku. Mimi thread yangu inasomeka jinsi ilivyo. Hao div 5 cjui wameiona wapi hiyo singida mjini!
 
Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.

Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mashariki na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.

Ahadi za JK za kutuletea maisha bora kwa kila Mtanzania utekelezaji wake umefikia % ngapi? Unawasakama akina Lisu na Lema ambao hawakusanyi kodi wala hawapitishi bajeti BADALA ya kuwalaumu Viongozi wako na Mawaziri wenye Fedha za bajeti hadi za ufisadi walioshindwa kuwaletea wananchi wa Dar Maji Safi na Salama! Wameshindwa kuondoa kero ya foleni, Wameshindwa kutengeneza ajira, Wameshindwa kutupatia huduma bora za Afya, wameshindwa kutusomeshea Watoto wetu! CCM wameshindwa kila kitu....Mnachoweza ni kukataa Rasilimali za Watanzania zisimilikiwe na Wazawa wa nchi hii... Mkuu acha ujinga wewe; Wapinzani hawawezi kupelekewa maendeleo hata siku moja! wameshindwa kwenye majimbo yao watawezaje kwenye majimbo ya wapinzani? CHAMA CHAMAKUWADI ni janga kwa jamii yetu ...
 
Tatizo lako unaleta hoja zisizokuwa na mashiko humu! JF siyo sehemu ya porojo ama udaku wa Lumumba! hapa wanajadili issues kwa maslahi mapana ya Talifa letu...
 
cjaona hoja ya kujibu yenye maana! Kama hutaki intarahamwe basi nikuite BOKO HARAM! Uelewa wako ni wa div 5, nimesema mawaziri na manaibu kukosa ubunge kama kina Mramba, Marmo, Batilda, n.k ni kawaida na hao wala hawagangi njaa mtaani kama Babu Slaa. Sasa mgombea uraisi anaganga njaa mtaani na kuishi kwa sadaka za kuchangishwa kwenye chama chenu na ile misaada ya David Kamerun na Ruzuku toka serikali ya CCM, huyo mbunge kama Sugu ambae hana hada elimu ya kumsaidia kutafuta ajira atakimbilia wapi kama cyo kuchukua hayo maamuz magumu? Et Sugu nae ni Waziri kivuli! Hahahaha..,
Sijui nisemeje ila wewe kijana ni bureeeeeee!!!!!! toka asubuhi hujanipa jibu hata moja tofauti na kusimanga watu na mambo ambayo yako nje ya mada yako. Bure kabisa
 
Ahadi za JK za kutuletea maisha bora kwa kila Mtanzania utekelezaji wake umefikia % ngapi? Unawasakama akina Lisu na Lema ambao hawakusanyi kodi wala hawapitishi bajeti BADALA ya kuwalaumu Viongozi wako na Mawaziri wenye Fedha za bajeti hadi za ufisadi walioshindwa kuwaletea wananchi wa Dar Maji Safi na Salama! Wameshindwa kuondoa kero ya foleni, Wameshindwa kutengeneza ajira, Wameshindwa kutupatia huduma bora za Afya, wameshindwa kutusomeshea Watoto wetu! CCM wameshindwa kila kitu....Mnachoweza ni kukataa Rasilimali za Watanzania zisimilikiwe na Wazawa wa nchi hii... Mkuu acha ujinga wewe; Wapinzani hawawezi kupelekewa maendeleo hata siku moja! wameshindwa kwenye majimbo yao watawezaje kwenye majimbo ya wapinzani? CHAMA CHAMAKUWADI ni janga kwa jamii yetu ...

wewe mbumbumbu kweli! UMEZAA halafu serikali IKUSOMESHEE!!! duh! Mkuu edit comment yako imekaa vibaya! JK anatekeleza ahadi zake kama rais, Lema anapaswa kutekeleza ahadi zake kama mbunge, kama ameshindwa basi aliwadanganya wapigakura. Neno zuri ni ALIWALAGHAI WAPIGA KURA KWA UROHO WA MADARAKA kumbe hana uwezo wa kutekeleza yale aliyokuwa akiahidi. Sasahv anajitetea hakusanyi kodi. Hivi wakati anaahidi alikuwa anadhani atakusanya kodi?
 
Tatizo lako unaleta hoja zisizokuwa na mashiko humu! JF siyo sehemu ya porojo ama udaku wa Lumumba! hapa wanajadili issues kwa maslahi mapana ya Talifa letu...

nakubaliana na wewe, kama hoja imeeleweka kwanini usichangie hoja moja kwa moja badala yake unakomaa na spelling error? Nadhan umeelewa, sasa jikite kwenye hoja mkuu.
 
Sijui nisemeje ila wewe kijana ni bureeeeeee!!!!!! toka asubuhi hujanipa jibu hata moja tofauti na kusimanga watu na mambo ambayo yako nje ya mada yako. Bure kabisa

div 5 kama wewe ni sugu wa kuelewa.
 
Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.

Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mashariki na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.

Ni kama vile umeshindwa kuwasilisha ujumbe wako wa ki-propaganda uliokusudia!!..... Hakuna connection ya Naibu Waziri wa serikali za Mitaa (ambako hapa kwetu angekuwa mtu kama Aggrey Mwanri [MB - CCM] au Kassim Majaliwa [MB-CCM] - Manaibu mawaziri wa TAMISEMI chini ya serikali inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI) kujiua kwa kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge huko Malawi na Tundu Lissu (mbunge wa Singida Mashariki - CHADEMA) na Godbless Lema (Mbunge wa Arusha Mjini - CHADEMA)

Kwa tafsiri rahisi na ya haraka ni kuwa ume-fail kuifanya paropaganda yako, ni wazi utakatwa posho yako ya siku!!...Jiandae kisaikolojia kwa hilo
 
Sijui nisemeje ila wewe kijana ni bureeeeeee!!!!!! toka asubuhi hujanipa jibu hata moja tofauti na kusimanga watu na mambo ambayo yako nje ya mada yako. Bure kabisa

Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi sana kujibizana na Mataahira?
 
Kwa sisi si tuliopitia uchoraji karatasi inaanzia A5 mpaka A1.A5 karatasi ndogo kuliko A4.

Mkuu huyo Taahira A4. ni A55.
Sasa fikiri Namba 5 inashabihiana na herufi gani then kwenye alphabet then uone kama utaendelea kujibizana na A55
 
Last edited by a moderator:
Huyu mbulura katoka choo gani? Ukiwa ccm lazima uwe na akili za maiti kama huyu msukule mleta mada.Hajielewi anawaza buk 7 tu
 
wewe mbumbumbu kweli! UMEZAA halafu serikali IKUSOMESHEE!!! duh! Mkuu edit comment yako imekaa vibaya! JK anatekeleza ahadi zake kama rais, Lema anapaswa kutekeleza ahadi zake kama mbunge, kama ameshindwa basi aliwadanganya wapigakura. Neno zuri ni ALIWALAGHAI WAPIGA KURA KWA UROHO WA MADARAKA kumbe hana uwezo wa kutekeleza yale aliyokuwa akiahidi. Sasahv anajitetea hakusanyi kodi. Hivi wakati anaahidi alikuwa anadhani atakusanya kodi?

nadhani wewe utakuwa kichaa
 
Wewe ni Sendeka? Unaelimu ya kiwango gani? Please elewa kuwa Kodi zetu zinatakiwa zitumike kuboresha huduma za kijamii kama Elimu, Barabara, Maji, Afya nk... Jukumu la kutoa elimu bora kwa Watoto wa Kitanzania lipo kwa Serikali! Wizara ya Elimu Majukumu yake ni yepi? Watoto kusomea chini ya Miembe huku dhahabu, almasi, gesi na sasa vipusa mnaviuza ughaibuni kinyemela siyo sawa!... Jukumu la Mbunge ni Kusimamia maendeleo kwa watu wake! Kama Fedha za Maendeleo hazipelekwi na zikifika zinaishia kwa wateule wa Rais nani wa kulaumiwa?...Usiwe Mjinga Mkuu..."Ficha Ujinga wako unyesha hekima zako ...by Invisible"
 
Ni kama vile umeshindwa kuwasilisha ujumbe wako wa ki-propaganda uliokusudia!!..... Hakuna connection ya Naibu Waziri wa serikali za Mitaa (ambako hapa kwetu angekuwa mtu kama Aggrey Mwanri [MB - CCM] au Kassim Majaliwa [MB-CCM] - Manaibu mawaziri wa TAMISEMI chini ya serikali inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI) kujiua kwa kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge huko Malawi na Tundu Lissu (mbunge wa Singida Mashariki - CHADEMA) na Godbless Lema (Mbunge wa Arusha Mjini - CHADEMA)

Kwa tafsiri rahisi na ya haraka ni kuwa ume-fail kuifanya paropaganda yako, ni wazi utakatwa posho yako ya siku!!...Jiandae kisaikolojia kwa hilo

fuatilia kuna sehemu nimetoa ufafanuzi nikimjibu mchangiaji anaitwa Mromboo
 
tulia dawa ikuingie. kuna mahali umenipa jibu au umeleta masimango kwa watu ambao hawahusiki kwenye mada yako ikiwa ni pamoja na kujihami huku ukijua fika huna jibu la maswali yangu. kapike ndizi ule ulale.
 
Back
Top Bottom