Naibu waziri wa serikali za mitaa nchini malawi inadaiwa amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.
Hapa kwetu bongoland, mawaziri na manaibu waziri kushindwa katika chaguzi za ubunge ni jambo lililozoeleka, wapo wengi tu ila hakuna aliyechukua uamuzi kama wa huyo mh.
Wapo baadhi ya wabunge wa upinzani waliopangishwa majimbo na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi na katika kipindi chao wameshindwa kutekeleza ahadi zao, badala yake wamejenga uhasama wa kisiasa na wanasiasa wenzao. Cha ajabu walioshindwa kutimiza ahadi zao wameteuliwa Mawaziri Vivuli. Mfano: Majimbo ya Singida mashariki na Arusha mjini yanawakilishwa na wabunge ambao ni mawaziri vivuli, tena wale wanaowatukana viongozi wa kitaifa.