Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.
Mwapachu, Kingunge kwa age wise book value yao ni zero na hata ukitaka kuifanyia maintanace lazima overhall kitu ambacho ni bora ukanunua mpya fikiria leo kingunge ametumika kwa miaka 61 na bible inasema life-span ya mwanadamu ni miaka 70 sasa yeye mpaka ametumika zaidi ya miaka stahiki akiwa miongoni mwa wakandamizaji wa haki na huduma za jamii
 
Kila mtu na ahadi zake. Mimi nimeahidiwa elimu bure. Wewe huko CCM nani msafi? Hata atoke leo, msimtafutie visababu?
 
Kikubwa ni kwamba watanzania hatuitaki CCM, wao wamekuwa wajanja wakabadilisha jina la chama, ni walewale ila sasa wanakuja na jina jipya UKAWA. Anyway, jumuia ya kimataifa mwisho wa siku itatusifu tumebadirisha chama kwa njia ya amani althou watu ni walewale...
 
Wakati huu tunahitaji maombi sana tuweze kuongozwa na Mungu kufanya maamuzi sahihi October 25. Mtu kama Kingunge kakaa CCM mpaka Meno yameisha. Hakuna jambo unaloliona sasa ambalo hakuhusika nalo akiwa CCM. Leo hii anawalaghai watanzania CCM imeishiwa pumzi. Fanya Uchunguzi wa list (urari) wa watu wanojitoa CCM kwa makini. Sali tena kabla ya kufanya maamuzi. Aina ya watu wanaotoka CCM na kwenda UKAWA inatia shaka sana kwa vizazi vyetu na mustakabali wa nchi yetu.
 
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.
nasikia hata mgombea wenu karibu anatoroka ameahidiwa kuwa uwaziri mkuu.
 
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?

Kingunge maslahi yake yalikatwa , alikuwa mshahuri wa Rais akatolewa , alikuwa anakusanya mapesa Stand ya Ubungo amenyanganywa , anajua Magufuri ataanzisha mahakama ya majizi na mafisadi , atashtakiwa na kuwekwa lupango anaogopa
 
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Tutajie wanaofuata kama wawajua kweli kama si Kukimbia kivuli chako mwenyewe.
 
Mwapachu rudi ccm wana kulilia huku na tibaijuka na chenge wapo ccm bado??
 
katika watu wanaosubiri kupanda kizimbani ni mwapachu huyu ndiye alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la reli wakati linauzwa kwa wahindi. Huyu ndo tutamhoji alipeleka wapi vichwa vya treni vya mkanada.

Alivyokuwa katibu wa afrika mashariki alifanya kampeni ya kuuza ardhi yetu kinyemela akishirikiana dr.kamala, isingekuwa mzee sitta tungekuwa tumeshaingizwa mkenge na hiki kibabu.

waananchi wanajua huu mwaka ni lazima mabadiliko. Ndo maana wanasema mwaka huu wamesema ni kubadilisha rais yaani zamu ya upinzanil ccm hata mfanyeje kubalini yaishe.
 
Ni vgum sana kuingzwa serkal mpya ya CDM kisa tu umetoka ccm unataka changes ndan ya UKAWA wapo watu wa kutosha kuhold hzo nafac hii nchi tyar ipo ukawa taka mctake
 
Ndugu Wanabodi,

Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Mbona hamkulisema tangu mlipo lijua "siku nyingi"

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Taja hiyo list hapa mkuu tuwaumbue!

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Kaka
 
Kwa mwenye akili timamu anajua wazi kwamba Lowasa hawezi na hana haja ya mabadiliko zaidi ya kuusaka urais kama alivyosema aupate hata kwa siku moja tu! Kama asingekatwa ccm angekuwa anaisapoti chadema? jiulize.
 
Back
Top Bottom