Ndugu Wanabodi,
Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.
kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!
nawasilisha.
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?

je? na wale wanaojitoa chadema kwenda ccm wanataka mabadiliko ya kweli?
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?
CCM out
Kuwa Ubungo Bus Terminal President wa Muyaya! Teh teh teh
aliahidiwa Ushauri wa Rais masuala ha Siasa!
watu kama nyie ambao mnauwezo wakujitoa akili mpo wachache sana kwa sasa ccm imekufa anza kuomboleza!hiyo ndio overhaul yenyewe, kama mzee yuko tayari kununuliwa kwa rupia mbili bora aende
Umetaja kilugha cha kwetu, yaani umenirudisha nyasa. muyaya kwa wasiojua ni milele. Yaani anataka awe rais wa milele wa UBT. Lakini hata hivyo alishapendelewa sana huyu mzee pale UBT, no auditing halafu, bado haridhiki
Tunachojua kila aliyeko ccm ana madudu kibao, ila cha ajabu akiwa huko hamyasemi akishatengana na nyie ndo mnasema hii maanake mini????Katika watu wanaosubiri kupanda kizimbani ni mwapachu huyu ndiye alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la reli wakati linauzwa kwa wahindi. Huyu ndo tutamhoji alipeleka wapi vichwa vya treni vya mkanada.
Alivyokuwa katibu wa afrika mashariki alifanya kampeni ya kuuza ardhi yetu kinyemela akishirikiana dr.kamala, isingekuwa mzee sitta tungekuwa tumeshaingizwa mkenge na hiki kibabu.
Mkuu hao wanao sema hivyo ndio akina February ambao ndio washauri wa ccm unategemea nini hapo lazima ccm ife na ndicho kinacho tokea ccm ilikuwa inataka kubadilishia gear angani ikashindwa sasa imepotea kama ile ndege ya Malaysia ambayo haijuliakani ilipotelea wapi siku zote mawazo ya wazee ni alimasi leo ccm wameacha kuchukiwa mawazo ya wazee ambayo ni alimasi wana chukuwa mawazo ya kina February ambayo ni chuma !!
Unadhani ana njaa kama wewe! Familia bora ile! Usimlinganishe na walioijulia hela ukubwani!Daah!!!1:sick::dizzy::mad2::mad2: Sasa Huyu Mwapachu alikuwa ajielewi kabisa hivi anavyohisi chadema atapata uwaziri au unaibu waziri ?!! Mpe salamu Amechelewa CCM sio kichaka cha wafanya maovu,CCM Imara Tunataka kuongozwa na viongozi imara na sio matapeli,wenye uchu wa madaraka na maendekeza ngono zembe....
Kaka, kwa nini usiwe unakaa kimya kama wenzako? unajichora sana na watu tunakusoma jinsi ulivyo kichwani.
Nakushauri utulie, acha kujibizana na watu humu!
Kwa mfano, hapo juu sasa ndo umeuliza nini? kweli?