Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Mwapachu aliahidiwa ndio maana katoroka na wewe kwa vile hukuahidiwa huwezi kuhama pole sana.
 
Hivi kwa nini Nape alipewa ukuu wa wilaya mwaka 2010 kabla ya kuteuliwa kuwa mwenezi wa CCM? Alipoenguliwa Ubungo na kutokuridhika? Siasa ni hivo kila mtu anacho anachokitamani na huwezi kuomba kuingia Ikulu bila ya kuwa na mikakati ya kuwa na watendaji...awe yumo kwenye mpango huo au hayumo suala ni hilo amehama CCM!!!! Ndo agenda. Hivi unadhani Dr Slaa yeye hakupewa ahadi kama ni hivo katika serikali hiyo ya EL? Sidhani nahisi anayo nafasi kubwa. Lakini mwisho wa siku nani ataingia Magogoni ni tarehe 25 Oct 2015 mwamuzi. Kura yako na kura yangu vitachambua mchele na pumba na matamanio ya wengine yatafifia wengine yang'ara ni kawaida katika siasa.
 
Mimi na familia yangu tulishakula limbwata la lowassa hatuelewi, jamaa zangu, marafiki zangu, ndugu,michepuko yangu, na wadau wangu wa karibu tumeshakula limbwata la lowassa tena katuoverdose hatusikii hatuelewi kuhusu lowassa.
 
Hangetoka bila kuwa na sababu kama ambavyo hakuna anayetoka CCM bila sababu. Cha msingi ni kuwa wamehama chama kilichopoteza sifa ya kuongoza dola!
 
Ninyi watu wa CCM mnashangaza sana.Hivi inaweza kuwa kweli kwamba kila anayeondoka CCM ndiye mwenye matatizo.Siamini kabisa.Mtu muungwana yanapotokea matatatizo kama hayo, anajichunguza yeye mwenyewe kwanza.Na hakuna mtu aliyekamilika,kila mtu ana kasoro.Vivyo hivyo CCM nayo haijakamilika,CCM ina kasoro,tena kubwa,ndio maana hata waasisi wa chama wanaondoka.Ni vema CCM ikatambua hilo na ikajirekebisha.Kuendelea kuamini kwamba wanaondoka ndio wenye matatizo na kumbe sio kweli ni kujifariji.Tabia hii itaendelea kukididimiza na kukibomoa chama.
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.
 
Hakuna nafasi za ukuu wa wilaya wala ukuu wa mkoa hawana kazi kwenye serikali ya Lowasa nafasi zao zinafutwa wakurugenzi watawajibika zaidi.kwa mawazo yako hayo umechelewa..

KUMBUKA ; Nafasi za ma RC na ma DC zipo kwa mujibu wa sheria na kama Rais ataapa kuilinda na kuiheshimu Katiba na sheria zake analazimika kuwateua. Siyo utashi binafsi wa Rais.

Akikaidi maanake atakuwa akikiuka Katiba
 
Hu
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Tunacho taka mabadiliko,
sera zenye kuleta mabadiliko, elimu yenye kuleta mabadiliko.
Afya yenye kuleta mabadiliko
Mabadiliko yatakayo ondoa umasikini na ujinga.
Mabadiliko ya Katiba, serikali kuwa chini ya wananchi.
Kurudi Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Zanzibar yenye mamlaka kamili
Kuwa na jamuhuri za muungano wa Tanzania ambayo itokayo kuwa na nguvu na kuzishawishi nchi yengine kujiunga na kuwa na Umoja wenye nguvu zaidi.
Hivyo huyu mwapachu kama kaja ukawa hatuna matatizo tunamuhitaji katika kuleta mabadiliko, Waziri wa mambo ya NJE mtarajiwa
 
Hawa wazee wakae kando mna uchu wa madaraka ili iweje? Mwapachu karibu upinzani lakini pumzika nyumbani umri umesogea sana pisha vijana ama sivyo rudi ccm wakupe ukatibu mkuu wa kilimo teh teh
 
ndugu wanabodi,

suala la kujitoa kwa ndugu mwapachu ccm na kudai kuwa ati ccm siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, mwapachu alikuwa ni teamlowassa , lowaasa akiwa bado yuko ccm. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa ccm waliokuwa wakigawa fedha za lowassa pale dodoma. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi dodoma kumuomba el agombee urais. Ni mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na team lowassa) cv za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara el atakapotinga ikulu kupitia ccm.

Kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe ccm, balozi mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. Tunalifahamu hili na list nzima ya walioahidiwa ukuu wa mikoa, wilaya, wizara, ubalozi, na ukatibu mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka ccm siyo kwa sababu wanataka mabadiliko ya kweli in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa cdm tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa ccm muda huu wa kampeni zambia lala salama!

Nawasilisha.

hizo ni zako, za kwake yeye alitueleza jana
 
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?
huyu nazani anafanya kwa manufaa ya wanawe,anajua edo akifanikiwa basi yeye na wanawe watakuwa na fursa kila sehem wafanye watakalo-ndoto ambayo naamini haitatimia-though mzee kinguge alishakuwaga na malalamiko yake ndani ya chama kwa muda mrefu ambayo hajapatiwa majibu hadi kesho-whichever inaeweza kuwa sababu yake kutoka
 
Acha propaganda za kipuuzi,hivi unaweza kutoa ushahidi wa hayo uliyoandika?Au mikataba ya makubaliano yao unayo ?

Hebu tuletee ushahidi ulio nao wewe
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho......hatimaye WATANZANIA TUNAKARIBIA KUKOMBOLEWA......ASANTE MUNGU.........
 
Utupe video mi nilimuona na kumsikia magufuli akimuahid Mrema uwaziri lowassa cjamckia..tena anasema mkimpa hyu ubunge ntawaongezea kilometa kumi za lami..Na hao wa cku c nying c muwatimue jaman??? Mnashindwa nn ati?? Hayo yote ya bodaboda mmejua leo?? Mtutolee nziii
 
Back
Top Bottom