Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

Ndg yangu,,, tulipofikia watanzania KIFIKRA na upambanuzi ni pabaya sn. Na kinachosikitisha zaidi hao wanaokubali kupotosha umma hawakusoma shule za kata. Ni watu wazima, wenye elimu nzuri na AKILI pambanuzi kabisa. Wanajua wanachokieneza na kukishabikia ni UONGO na propaganda. Sasa malengo yao ni nini haswa km si Kuleta machafuko nchini?
 
Wakati huu tunahitaji maombi sana tuweze kuongozwa na Mungu kufanya maamuzi sahihi October 25. Mtu kama Kingunge kakaa CCM mpaka Meno yameisha. Hakuna jambo unaloliona sasa ambalo hakuhusika nalo akiwa CCM. Leo hii anawalaghai watanzania CCM imeishiwa pumzi. Fanya Uchunguzi wa list (urari) wa watu wanojitoa CCM kwa makini. Sali tena kabla ya kufanya maamuzi. Aina ya watu wanaotoka CCM na kwenda UKAWA inatia shaka sana kwa vizazi vyetu na mustakabali wa nchi yetu.

KWA HIYO TUNAOMBEA CCM AMA TANZANIA?maana unaposema tuombe Mungu wakati huo huo ukaihesabia haki ccm ama chadema, hayo ni maombi ya kisiasa na siyo ya kiroho. ya magufuli na lowassa wape, na ya Mungu mpe Mungu
 
Wakati huu tunahitaji maombi sana tuweze kuongozwa na Mungu kufanya maamuzi sahihi October 25. Mtu kama Kingunge kakaa CCM mpaka Meno yameisha. Hakuna jambo unaloliona sasa ambalo hakuhusika nalo akiwa CCM. Leo hii anawalaghai watanzania CCM imeishiwa pumzi. Fanya Uchunguzi wa list (urari) wa watu wanojitoa CCM kwa makini. Sali tena kabla ya kufanya maamuzi. Aina ya watu wanaotoka CCM na kwenda UKAWA inatia shaka sana kwa vizazi vyetu na mustakabali wa nchi yetu.

Uko sahihi sn. Ni watu ambao historia zao zina ukakasi mkubwa.
 
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?


Kwani hujuwi Kingunge yeye anachotaka ni kale ka stendi ka Ubungo walikomnyang`anya baada ya EL kutoswa u PM? Anachotaka yeye ni uwakala wa parking apige hela tena and nothing else.
 
Ndg yangu,,, tulipofikia watanzania KIFIKRA na upambanuzi ni pabaya sn. Na kinachosikitisha zaidi hao wanaokubali kupotosha umma hawakusoma shule za kata. Ni watu wazima, wenye elimu nzuri na AKILI pambanuzi kabisa. Wanajua wanachokieneza na kukishabikia ni UONGO na propaganda. Sasa malengo yao ni nini haswa km si Kuleta machafuko nchini?

wazee wa mtandao wakiongozwa na kinara wao wa wanamtandao ni wachonganishi. Wanazunguka huku na kule wakutuchonganisha vijana. Vijana tusikubali kuchonganishwa wala kutumiwa na wanasia.
 
Hana maslahi tena CCM.Kama ni UBUNGO Kashatemwa.Alimtegemea Lowassa lakini sasa ndiyo hivyo tena. 1.Mimi naomba kuuliza kuhusu Msimamo wa Kingunge katika KATIBA PENDEKEZWA 2.Swali kwa Sumaye,Kingunge na Lowassa.Watuambie Je,Uchaguzi Mkuu wa 1995,2000,2005 na 2010 ulikuwa HURU Na wa HAKI??
Haukuwa huru na haki kwani ccm ni chama cha kihuni, mhuni hawezi kutoa haki hata siku moja.
 
Akikujibu hili nitajamba kuanzia leo non stop mpaka siku ya kupiga kura hadi zenji yote iwe kiza kwa kujaa ushuzi!

wewe si useme tu kama kiringo amepita hapo, pole sana maana hakuna break wala dawa tena.. utajamba sana maana huna namna nyengine.
 
Usimsingizie mzee wa watu.

Soma: Alichokiandika balozi JUMA MWAPACHU baada ya hotuba ya mh. BENJAMIN MKAPA
Ninaamini fika kwamba Tanzania ipo katika njia ya uhakika kuelekea kipindi kipya katika historia yake. Ni kipindi cha maana sana ambapo uongozi mpya wenye maono ya mbali na dira sahihi kuhusu hali ya nchi yetu na ukombozi wake kijamii na kiuchumi unahitajika. Tanzania ina kiu na njaa kubwa kufikiria upya misingi ya maendeleo na maadili yake.


Inatisha kuona na kuwasikia viongozi wetu wa awamu zilizopita wakisimama katika jukwaa hii leo na kutumia lugha isiyo ya heshima na maadili mema. Nani ni 'mpumbavu na lofa'? Mbona matusi haya pekee ni kielelezo fika kuhusu baadhi ya viongozi wetu kuwa na jeuri isiyo kubalika na kulewa madaraka na huku wakijiona kwamba wao ndiyo wanaostahiili kuendelea kutawala nchi yetu. Hivi lugha kama hii haichochei vurugu nchini?


Haishangazi kwamba Rasimu ya Katiba ya Tume ya Warioba haikupewa heshima stahiki kwa sababu chama tawala kingali kinajiona ndicho chama cha kutawala maisha yote! Kwa yote yale yanayosemwa na kusheherekewa na vyombo vya kimataifa kama World Bank na IMF kwamba uchumi wa Tanzania umepiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni hatuwezi kuficha au kutokubali uhalisi wa hali tete ya maisha vijijini ambako wananchi
wana chuki na mateso; watu mijini hawana raha; vijana wanaishi maisha
yasiyo ya matumaini na wananchi kwa ujumla wao hawaoni hali ya
uhakika usoni mwao wa maisha yao kuboreka.

Wako katika hali ambayo inafanana na shairi la WB Yeats kuhusu ndege aitwaye falcon ambaye kikawaida ukimrusha angani huruka na punde hurejea mikononi mwako. Lakini hali tuliyonayo ni kwamba huyu ndege hamsikilizi tena mfugaji wake.

Tanzania imo katika mazingira ambayo yanawachochea wananchi
kutaka mabadiliko katika uongozi na utawala wa nchi yao. Wana hamu
kubwa ya kuona hali ya maisha yao ikistawishwa na kuthawabishwa.
Wanasubiri atokee kiongozi ambaye atawapa matumaini mapya yakuelekea
nchi ya asali na maziwa.

WaTanzania wanamsubiri atokee mtu anayeweza kuongoza na siyo mtu mwenye uwezo tu wa utekelezaji mzuri au meneja. Kiongozi ni mtu mwenye
uwezo na hekima ya kubadili sura ya mambo na kuleta mabadiliko makubwa ya kifikra na hamasa za watu. Meneja ni mtu anayekabidhiwa jukumu la utekelezaji. Mathalani, simamia ujenzi wa barabara. Anaweza kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa. Lakini anaweza kabisa asiwe kiongozi. Tofauti ni kwamba, kiongozi huchaguliwa; Meneja huteuliwa. Wengi wetu ni mameneja
wazuri lakini si viongozi.

Uchaguzi unaokuja unatutarajia kwamba tutachagua kiongozi, siyo meneja.
Chaguo hili ni muhimu mno. Si chaguo la Chama kama tulivyozoea miaka ya nyuma pamoja na umuhimu wa vyama katika kazi za uchaguzi.

Ushindani kati ya Ndugu Edward Ngoyai Lowassa na John Pombe Magufuli unahusu chaguo kati ya kiongozi na meneja. Na kwa maoni yangu, Ndugu Lowassa ndiye atakayeweza kuwapa WaTanzania uongozi wa ukombozi. Kama kweli tuna njaa ya mabadiliko ya uhakika katika ulimwengu wenye changamoto nzito, hatuna budi kuchagua kiongozi ambaye ana mwono wa mbali, mwenye uwezo uliopimwa kupitia madaraka muhimu na mwenye hulka ya kufanya maamuzi magumu, si kwa kuagizwa kutenda, bali kwa misimamo thabiti.

Ni wakati mwafaka wa mabadiliko.

Tuchague kwa makini!
 
Mabadiliko yepi ya kimfumo utayapata kutoka kwa wana mtandao? Nyie watu zishughulisheni akili zenu msiwe mashabiki tu. Hilo liko wazi Lowassa was here kuendeleza mtandao uliotutesa hapa kwa miaka 10 sasa.
Wapuuzi tu ndiyo wanaazima
akili zao...lowassa na.mabadiliko wapi.na wapi...na.mabadiliko yenyewe yapi hayo..ukiwauliza mbona katiba ya wananchi haizungumziwi au tatizo la ufisadi liliowapa upinzani maisha mapya halizungumziwi na wanamabadiliko wanakua mabubu kama mazezeta...
Lowassa anataka urais tu na.genge lake ni lile lile nia ni.ile ile sasa kapata jukwaa jipya na dhaifu la kusimamia ila hamna kipya usanii tu..

Demokrasia inaniudhi kwa kitu kimoja kuna uwezekano wa wajinga wengi kuamualia hatma ya werevu wachache...hii ni shida...kuna muda naombea hili zezeta lishinde watu waje kujuta zaidi kuazima akili zao
 
Mbona povu linawatoka ss CCM c mgesema haya mapema kuliko sasa poleni ndio basi tenaaaaaa!!!
 
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?
waziri mkuu nae anataka uwaziri? halafu ni wangapi pamoja na nfasi kumi za rais kuteua wabunge, waziri lazima awe mbuge kwanza. Haya maelezo yake ni kama shutuma zaidi
 
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Sound's like crocodile tears from JAPUONY
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu wanaonekana ni wabaya wakitoka nje ya mfumo, kwanini hawakutolewa huko kama walisha kuwa wabaya kabla?
 
wewe si useme tu kama kiringo amepita hapo, pole sana maana hakuna break wala dawa tena.. utajamba sana maana huna namna nyengine.
Condition za kumwaga shuzi nimezitoa,sasa kama mnaweza hoja zijibiwe hayo mengine ni utovu wako wa adabu !
 
Back
Top Bottom