kujisifu muhimu

Mungu akubariki,wewe ni kati ya wanaume wachache sana maana humu naona wengine mpaka wametengeneza katiba ya kuhalalisha cheating.
 
kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende

HONGERA SANA MIKE,
Endelea hivyo hivyo kuwa MUME MWAMINIFU KWA MKEO,
Pia unafanya vizuri kumwamini mkeo.

Nawatakia maisha mema yenye uwingi wa uaminifu na upendo kwenye ndoa yenu.
 
Inawezekana usitoke nje ya ndoa 9usilale nje) lkn ukawa unamalizia kwa house gelo hapo hme.
 
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili

Kweli ni muhimu kujisifu, walau nami nikusifie - we mkareeee..... Sasa Mike1234 hata mamaa ni hivyo hivyo?
 
kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende

LOVE & TRUST !!!!! i can see mnazeeka pamoja.. hongera mkuuu
 
Asha :Kweli ni muhimu kujisifu, walau nami nikusifie - we mkareeee..... Sasa Mike1234 hata mamaa ni hivyo hivyo?

Nadhani mtakuwa hamjamtendea haki kumuuliza kama mkewe naye hatoki nje ya ndoa maana mkewe ndo angetakiwa kulithibitisha hilo. Ameongelea kwa Upande wake yeye mwenyewe, masula ya mke kutoka nje ni mke mwenyewe maana kila mtu aliyeko kwenye ndoa ana wajibu wa kuchukuwa hatua kusimama katika ndoa yake.

Akatoa na maswali kadha wakadha lakini naona watu hawayajibu kutowa msimamo wao. Wanaume kwa Wanawake hapo kwenye Red hapa chini. Au kimya kina maana ya kusema ndiyo tumeshatoka nje?

Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili

Mkuu hongera kwa Uvumilivu ulio nao na kuiheshimu ndoa yako. Mie ninayo miaka miwili (2) pungufu yako bado nimesima. Jambo la muhimu ni kumshirikisha Mungu katika hili na kuliweka katika maombi pia ili kupata nguvu ya kuendelea kusimama. Ni kweli wengi wanasema hawawezi, na kutamka kwa vinywa vyao wana-kili kuwa hawawezi kuwa na mtu mmoja kila siku. Si kwa wanaume tu katika hili, hata baadhi ya wanawake wanashangaa wenzao ambao hawana mahusiano nje ya ndoa zao. Kwa hiyo hili ni kwa wote.

Hongera kaka.
 
Hongera sana Bro. Usaichanganywe na hizo comments,endelea kumuamini mkeo mpaka akupe sababu ya kutokumuamini na kamwe usimfanyie usilopenda akufanyie. Mungu awabariki sana.
 
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili

Mkuu usijisifu bado una safari ndefu sana na vingine ikawa ngumu kuliko hiyo miaka 11 ya ndoa yako, muombe mungu tu akuvushe mpaka mwisho wa mmoja wenu kutenganishwa na mola, tena unaweza kuwa mwema 11 years lkn siku moja ikawa mbaya kuliko vyote mkuu...mshukuru mungu na zidi kumuomba...
 
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili

...hongera sana kiongozi. Kwakweli unastahili sifa.
Nadhani leo ni siku ya kukupongeza huo ujasiri wako,
haifai wala haitapendeza kuanza kuhoji kwanini imekuwa hivyo.

Kila la heri, na Mwenyezi Mungu akuzidishie ujasiri wa miaka 11 (kumi na mmoja!) mingine
bila kuonja nje!..Good Luck! :first:
 
Hongera sana kwa kuweza kuyashinda majaribu wanayoyashindwa wengi!!Namuonea raha sana mkeo.....usikubali haya maswali ya ''na yeye kavumilia'' yakutie wasiwasi!!Mwamini mwenzako mpaka atakapo kupa sababu ya kufanya tofauti....
 
Back
Top Bottom