Kujifungua kwa Operation imekuwa too much nowdays, why?

wadada wengi hawapendi kuzaa kwa kawaida, ku-exprerince ule uchungu naturally, secondly wanahisi wakiza kawaida maumbile yatabadilika kumbe hicho kitu hakipo kabisa. mi nina uzoefu wa kawaida na operation bado k yangu nng'aaa!
la tatu mahospitali pia ni biashara kwani operation siku hizi inafika hadi laki saba.
Duh! Hongera sana...
 
Dr, alinishauri mke wangu ajifungue kwa njia ya operation, alinihakikishia na kuniongezea ujasiri kuwa operation ndio uzazi salama sana.

Mtoto akifikisha week kadhaa ( nimesahau) hana budi anatakiwa atoke. Mungu ametupa hekima ili tuchanganue vitu kama hivi , tusiwe kama mang'ombe . kuzaa kwa kubahatisha na kuhatarisha afya ya mama na mtoto.

Hakuna kipindi sikipendi kama hicho katika maisha ,huduma hii ipelekwe kote mpaka vijijini tuachane na mambo ya fistula HONGERENI KINA MAMA WOTE AFRIKA na dunia ya 3.

Ultra sound ni muhimu na Toto likiwa tayari tumboni litolewe .mambo ooooh, damu imepungua ooooh njia ya uzazi imepata mpasuko iishe.
 
wengi wa wanawake wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.na wanakwepa aibu ya kushkishwa vinyesi huko leba.wengne kufwata mkumbo! wachache inalazm kufanyiwa upasuaji!
When I was young. if you hear a woman give birth for operation. all people in village is wandering. very few womens were give for operation. now days operation is very ordinary than natural way. You know many person want them wife to do operation because for operation the enjoyment machine of wife is intact.
Usipende kuandika kiiengereza, una English mbovu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo bure kabisa yani
Dr, alinishauri mke wangu ajifungue kwa njia ya operation, alinihakikishia na kuniongezea ujasiri kuwa operation ndio uzazi salama sana.

Mtoto akifikisha week kadhaa ( nimesahau) hana budi anatakiwa atoke. Mungu ametupa hekima ili tuchanganue vitu kama hivi , tusiwe kama mang'ombe . kuzaa kwa kubahatisha na kuhatarisha afya ya mama na mtoto.

Hakuna kipindi sikipendi kama hicho katika maisha ,huduma hii ipelekwe kote mpaka vijijini tuachane na mambo ya fistula HONGERENI KINA MAMA WOTE AFRIKA na dunia ya 3.

Ultra sound ni muhimu na Toto likiwa tayari tumboni litolewe .mambo ooooh, damu imepungua ooooh njia ya uzazi imepata mpasuko iishe.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Nadhani wanawake tunapaswa kuelewa kuwa ile k ni inatanuka unapojifungua lakini inajirudisha. Yani ni elastic. Mimi nimejifungua njia ya kawaida ila sasa hivi njia ni nyembamba tu kama zamani. Pili wavumilie uchungu kwani hata Mungu alishatuandikia kuzaa kwa uchungu. Binafsi ningezaa kwa operation ningeona kama bado sijawa mama kamili.
Wengine ni matatizo assumes mwingine Mtoto hajageuka unataka huyo mama afanyaje alazimishe afe au apoteze Mtoto
 
My baby alikuwa breach,walinilazimishaje?...did my research and i read these inspiring stories of women who were strong enough to do some normal breach delivery,I made up my mind...nikasema no way!
Siku ya siku the baby was still breach nikambiwa napelekwa theater......I looked at that beautiful,indian doctor and i pleaded......she was very understanding yet reluctant since that was an established policy,Prime Breach=C-Section.......But i kept on refusing,I had this faith that i wasnt going to be cut open that day tena unnecesarily....akaniitia nurses so i could be convinced but noooh,I refused still...Basi,Akasema you must sign kuwa umekataa kufanyiwa operation pamoja ya kwamba umeambiwa consequances and everything....I took the damn papers and prayed then i signed.....hapo chupa ilikuwa ishavunjika...after few hours i was in labor..my mum was called....akaniambia "My dear kama ndio njia salama for you and the baby,consider it".....I Said no mama,.......few hours more,I delivered a cute and a healthy baby....NORMALLY!!
Ningekuwa sijui kama inawezekana,ningepata unnecesary c-section...Mungu alinisimamia ila kiukweli nimegundua hospitais zetu hizi siku hizi hawana muda wa kuumiza kichwa.....wao ni kisu tuu!
Una roho ngumu saana dear loo ulijiaminisha vpi mtoto anaendeleaje sasa
 
papuch haitanuk wala nn,mi yangu km mtoto hajapt hapa loh and im proud kujifungua kwa njia hyo,ndo nkiona hata mtoto wa mtu analia napata uchungu kama mwanamke,hawa wa visu mmm
Umejuaj kama haijatanuka!! Hii kitu n sawa na kunuka mdomo unaweza usiambiwe na wengi. Mume kwa busara hawezi kukwambia kitu km hicho ili kulinda hisia zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When I was young. if you hear a woman give birth for operation. all people in village is wandering. very few womens were give for operation. now days operation is very ordinary than natural way. You know many person want them wife to do operation because for operation the enjoyment machine of wife is intact.
Mkuu vipi ulishaielewa hii lugha? Maana uliandika kitu ambacho hata std seven hawezi fanya ujinga kama huu ingawa ni zamani
 
We ndo bure kabisa yani

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Siwezi kutumia lugha yako kwa kuwa sikulelewa hivyo.

Naamini kuishi kwa Upendo na amani kisha kuruhusu ufahamu tuliyopewa na Labana ufanye kazi.

Ubongo Wa mwanadamu bado haujafunguka kuna mengi yanawezekana pasipo kusubiria hicho unachoita nature huku ufahamu ukiwa ni mkubwa.

Doctor ananiambia mpeleke mkeo akapimwe kipimo cha ultra sound , narudisha picha , ananifafanulia mtoto amejiviriga na kitovu lkn yupo salama niendelee kusubiri nature.

Shemeji yangu kasubiri nature, mkewe kashindwa kusukuma mtoto sababu mtoto ni mnene imebidi upasuaji ufanyike, mtoto katoka na uzito Wa 4.something mama karudishwa wodini baada ya siku mbili mama miguu inavimba na kupoteza nguvu.

Karudishwa theatre kufanyiwa uchunguzi damu imepungua na kunampasuko ndani kwa ndani chupuchupu apoteze maisha.

Nature tuiruhusu pale ambapo huduma haijafika.
 
Complication ni nying mno , zama zimebadilika kuna hospital moja lazma ukienda pale ni C-section watu wanatafuta hela kiulazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu nyingine daktari anaongeza CV mkuu. Mana anakuwa na history ya kuwa ameshafanyia watu kadhaa op na hawakuwa na matatizo , sasa hapo unadhani dau lake ni LA kitoto ukitaka kumuajiri.

Dunia saivi pesa imetuharibu sana na tunakiuka vingine kisa pesa .
Shemu alitaka kufanyiwa op ila bro akagoma mwishowe MTT akazaliwa salama kwa njia ya kawaida.
 
Aisee Mungu atusaidie tu

Back
Top Bottom