Kujifungua kwa Operation imekuwa too much nowdays, why?

Wanajamvi naomba kuelimishwa kwa maada hii kwani inaweza ikawa na msaada wa kitabibu kwa jamii.Imekuwa ni kawaida kusikia baadhi ya binti zetu wajawazito wanapozaa (kujifungua)wanafanyiwa operation,na idadi inaongezeka tofauti na dada/binti zetu wa miaka ya sabini.je,hii ni kwa sababu ya life style ya siku hizi ambazo ni very sophisticated au ni mabadiliko ya dunia na kimaumbile?GT naomba kuelimishwa,hii itasaidia wadau wengine pia kuelimika na kusaidia kutoa ushauri kwa jamii pana zaidi.
Naomba kuwasilisha
NB.TUELIMISHANE BILA MATUSI WADAU ITAPENDEZA SANA.:cheer2:
 
wadada siku hizi wanatoa sana tigo hivo kupoteza uwezo wa masozi za kupush mtoto na kwa wengine pia ni fasheni siku hizi mambo ya fedha.
 
Hawafanyi mazoezi, hawafanyi kazi ngumu bali za kukaa tu maofisini (Facebook) sio mechanical, wamelelwa kimayaimayai. zamani walitumia dawa za miti shamba ambazo zilisaidia sana kufanya self delivery
 
Eheeeee!!!!ndo maana hii some times na-conclude kuwa jamii forum ni darasa tosha,nimetoa mada hapa ili kupata kuelimishwa,ndani ya muda mfupi wadau mmetiririka kama vile hamna akili nzuri na mmechangia bila lugha ya maudhi,safi sanaaaaaa,ahsanteni sana,hebu tutiririke zaidi ili watu wapate (hasa hasa jinsia ya kike) madikoko ya maujuzi!!!!:puke:
 
wengi wa wanawake wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.na wanakwepa aibu ya kushkishwa vinyesi huko leba.wengne kufwata mkumbo! wachache inalazm kufanyiwa upasuaji!
 
Wengi wao ni wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile na wengine hawataki papuchi zao zitanuke
 
Hili nalo la Madaktari kutaka kufanya C-section hata kama mjamzito hana tatizo lolote linaloweza kuhatarisha maisha yake au ya mtoto linaanza kuwa tatizo sugu. Inadaiwa daktari anayehusika katika hiyo C-section analipwa pesa ndefu ukilinganisha na yule anayemsaidia mjamzito kujifungua kwa njia ya kawaida. Huu ni ukiukwaji wa maadili ya Madaktari ya kutoa ushauri kwa kuweka mbele maslahi yao.

Aaaha mimi nimetoka jifungua miez 2 iliyopita niliwahi kwenda hosp moja pale kinondoni kucheck kabebii kamekaaje
amini usiamini docta kabla hata kuniangalia kaniambia eti ni vizuri nijifungue kwa upasuaji
sikuamini masikio yangu pale alipokuwa akinishawishi kwa dhati kabisa kuwa hiyo hospitali yao ni nzuri sana kwa shughuli za kualisha kwa upasuaji .nkamdanganya narudi ngoja nikajadiliane na baba wa mtoto
akanipa namba yasimu eti kanamba na bei watanipunguzia
loh
nimejifungua salama salmini pale kcmc ,na sasa nipo fit kama ingelikuwa upasuaji mpaka sasa ningekuwa mbovu.maskini mdogo wangu angel yeye alifanyiwa upasuaji mimba ikiwa na umri wa miez nane na wii moja,wanaendelea vizuri
 
When I was young. if you hear a woman give birth for operation. all people in village is wandering. very few womens were give for operation. now days operation is very ordinary than natural way. You know many person want them wife to do operation because for operation the enjoyment machine of wife is intact.
 
wadada wengi hawapendi kuzaa kwa kawaida, ku-exprerince ule uchungu naturally, secondly wanahisi wakiza kawaida maumbile yatabadilika kumbe hicho kitu hakipo kabisa. mi nina uzoefu wa kawaida na operation bado k yangu nng'aaa!
la tatu mahospitali pia ni biashara kwani operation siku hizi inafika hadi laki saba.

Nmeipenda hyo "nng'aaa" lol..
 
  • Thanks
Reactions: awp
Sababu Kyle chiniko kumekuwabkuzito kutoa mojakwamoja mwisho unambana motto amabaakunywa majiyetu
 
Ahaaa as per touchscreen mns

Kule chini kumekuwa kuzito sana kutoamtoto mojakwamoja mwishowanaishia kubanwa ama kunywamaji
 
Nadhani wanawake tunapaswa kuelewa kuwa ile k ni inatanuka unapojifungua lakini inajirudisha. Yani ni elastic. Mimi nimejifungua njia ya kawaida ila sasa hivi njia ni nyembamba tu kama zamani. Pili wavumilie uchungu kwani hata Mungu alishatuandikia kuzaa kwa uchungu. Binafsi ningezaa kwa operation ningeona kama bado sijawa mama kamili.
 
When I was young. if you hear a woman give birth for operation. all people in village is wandering. very few womens were give for operation. now days operation is very ordinary than natural way. You know many person want them wife to do operation because for operation the enjoyment machine of wife is intact.

Wewe ni Maimuna?
 
Back
Top Bottom