Kujichua Vs Uzinifu 🤔

Kujichua Vs Uzinifu 🤔

Kwa muujibu wa biblia Uzinifu na uasherati nidhambi lakini sio punyeto.
Lakini punyeto inatakiwa ifanywe kwa kiasi maana inaathari sana kwa mtu akishakua mlevi wa hilo jambo.
Kwa mtu aliye single sio vibaya kujichua mara mbili au tatu kwa mwezi.
Ooh asante mkuu
 
Hili ni suala ambalo mitazamo yake hutofautiana kulingana na dini, maadili, utamaduni na imani binafsi za kila mtu. Kwa upande wa dini nyingi, uzinifu hukatazwa waziwazi, huku baadhi ya madhehebu yakitofautiana kuhusu kujichua. Kwa watu wasiokuwa na msimamo wa kidini, mara nyingi jambo huangaliwa zaidi kwa misingi ya ridhaa, afya, usalama na athari kwa mhusika au wengine.

Kwa mtazamo wangu, ni vigumu kuweka jibu moja linalowafaa wote. Mtu anapaswa kuzingatia imani zake, maadili yake na matokeo ya kitendo husika. Kilicho muhimu ni kufanya maamuzi kwa uwajibikaji, kuepuka kumdhuru mtu mwingine, na kuheshimu misingi anayoiamini.
Blue Monday 💙💙💙💙 for everybadi
Asanteee
 
Nadhani hii dunia tunaishinmuda mchache Sana hauhitaji kucomplicate Sana maisha. Suala la dhambi ni mtazamo tu na ni Sheria ambazo tumejuwekea au uoga tuliojiwekea ili kupunguza maovu.

Jaribu kuangalia anga lote nyakati za usiku hizo nyota na makorokoro yote ni baadhi tu ya Mambo yaliyoumbwa na Mungu na yote hayo pamoja na kuwa tunayaona kwa uchache tu lakini yako kwenye galaxy moja ya milk way na unaambiwa kuwa Kuna zaidi ya galaxy bilioni moja. Kwahiyo Mungu hawezi kuumba vitu vyote hivyo afu aje akuue kwa moto kisa tu umezini au umejichua.

Ni wewe tu kuamua ujichue au utafute mtu mzagamuane japo hayo yanategemea gharama pia, kumla mtu ni Bora zaidi maana mnapata na muda wa kubadilishiana mawazo japo ni gharama ila kujichua ni one man show Haina gharama lakini pia hainogi Sana.
Shukran mkuuu
 
Huu mtazamo ndo nau apply kwenye maisha sasa hiv.. Dhana ya ubaya na uzuri ni man made concept
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom