ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,770
- 39,707
- Thread starter
- #21
Ndio niniFrom Cluj Napoca, Romania
Ndio niniFrom Cluj Napoca, Romania
Kazi ipo
Kazi ipo
Koh koh😅Koh koh 😜
Comment zingn za ajabu ajabuNdio nini hivyo?
Noma 😅Comment zingn za ajabu ajabu
Kumbe hii issue ni hatari sanaNyeto haojawahi kuacha mtu salama ,utakua unajionea tu kwenye maisha yako
Mada inapalia ngaja nichek mpira Uru vs capvKoh koh😅
Safiii sasa inabidi tuhamasishe ndoa ili kuepkana na haya mambo yachukizayo mbele za Bwana1 Wakorintho 7:2
"Lakini kwa sababu ya uzinzi, kila mtu na awe na mke wake, na kila mwanamke na awe na mume wake."
Mada haina shida yoyote we kunywa maji itakua mpira ndio unakupalia koh kohMada inapalia ngaja nichek mpira Uru vs capv
Solution ndio hiyo.Safiii sasa inabidi tuhamasishe ndoa ili kuepkana na haya mambo yachukizayo mbele za Bwana
Mada inapalia ngaja nichek mpira Uru vs capv
Sasa hawa team kataa ndoa tufanye nini kuwashawishi?Solution ndio hiyo.
Ingekuwa ni hivyo uzinzi usingekuwepo
Wakaze na usingle na wasiziniSasa hawa team kataa ndoa tufanye nini kuwashawishi?
Umeongea vizuri sana 👏 👏 👏1. Punyeto ni uzinifu.(Unazini kwa mawazo)
2. Ukibanwa jikaze, sali. Mtu anakuwa mrahisi kuamini Mungu anaweza kumpa utajiri lakini eti hataki kuamini anaweza kuziondoa nyege zake.
3. Kama wewe sio mtu wa dini sana unatafuta mwenza tu.