Kujichua Vs Uzinifu 🤔

Kujichua Vs Uzinifu 🤔

unataka kusemaje?,,

alaf wew sindo ulisema huwa hauna usingizi usiku nikasema nitakuita usiku wa manane ukawe unajichatisha mpaka upitiwe,,, enweiiii kama nimekosea am soreee sirudii nimekoma mimi win one nimekoma
Nitakuja bhana Hutaniwi na wewe?

Nitakuja wake zangu wewe na Seran tufanye online threesome!
 
kuanzia leo sisi sio marafiki😅 kwanza hatujawahi kuwa marafiki sijui ilikuaje tukaanza kuquotiana😏😏
I see yah, I see yah, unataka tuanze kale ka mchezo, ka hard to get sio...

Mimi nakupendaa tu rafik, unichukie hio ni juu yakoo, (upendo is all we got)
 
I see yah, I see yah, unataka tuanze kale ka mchezo, ka hard to get sio...

Mimi nakupendaa tu rafik, unichukie hio ni juu yakoo, (upendo is all we got)
ndo ka mchezo kapi hako? hebu nifafanulie

we nipende tu ila mi napenda zangu kamongo, we de Gunner nikuchukie do I know you?😅😅😅 ,, mi sijui kama upo seriou au unatania ila mi sijui kuweka vitu moyoni bro labda chuki uje nayo wew
 
Nimesoma comments mpaka nimesahau mada ilikua nini, ila ni mambo ya nyeto na kula/kuliwa mzigo.

Maisha ni mafupi sana pungezeni kujilimit sana.

Dhambi ni mtazamo.
 
ndo ka mchezo kapi hako? hebu nifafanulie

we nipende tu ila mi napenda zangu kamongo, we de Gunner nikuchukie do I know you?😅😅😅 ,, mi sijui kama upo seriou au unatania ila mi sijui kuweka vitu moyoni bro labda chuki uje nayo wew

Sasa skia win-one mimi kama introvert nisiye na maneno mengi, natambua sisi ni marafiki, tena bond yetu ni kali sana, uliyakanyaga kuni befriend. Endelea kupiga kelele tuu. Kamongo kiachie kinywa na tumbo
 
Sasa skia win-one mimi kama introvert nisiye na maneno mengi, natambua sisi ni marafiki, tena bond yetu ni kali sana, uliyakanyaga kuni befriend. Endelea kupiga kelele tuu. Kamongo kiachie kinywa na tumbo
umenambia napiga kelele? Yesu 🤔🙊 mimi hapa eheeeeeeee una bahati upo mbali maan ungezitambua kelel zangu vizuri 🤨🤨
 
Kujichua (Masturbation) vs Uzinifu

Je, mtu afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi?

Umewahi kusikia neno kujichua (masturbation)?

Watu wazima wa jinsia zote hujikuta wakikumbwa na hisia za kimapenzi ambazo kama hazitakidhiwa kupitia (mpenzi ,mume mke )

mtu anaweza kujikuta akihangaika hadi kufikia kujichua

Hali hii mara nyingi huwapata zaidi watu wasio na wenza, (Single)au
wale ambao wenza wao wako mbali, au wale ambao hawatoshelezwi kimapenzi ndani ya mahusiano yao au ndoa zao

Kwa upande mwingine, watu walio kwenye ndoa zenye utulivu mara nyingi hali hii haiwakuti sana kama mahusiano yao yapo sawa

(na kwanini mtu una mke&mme ufanye hayo )

Swali langu lipo hapa kwa wale ambao tayali wanajua ladha ya mapenzi ila kwa wakatii huo hawana mtu wa halali(ndoa)

Hii ni kwa mkutadha wa dini

Sasa najiuliza, kwa wale wanaoamini dini mbalimbali
vitabu vitakatifu vinasisitiza kujizuia na pia kukataza uzinifu
Kwa mfano:

Qur’an:
Inasisitiza kujilinda na kudhibiti tupu
Na wale wanaolinda tupu zao, isipokuwa kwa wake zao au iliyo mikono yao ya kuume (Al-Mu’minun 23:5–7)

Biblia:
Inakataza uasherati na inasisitiza kujiepusha na tamaa za mwili
Epukeni uasherati…(1 Wakorintho 6:18)

Hapo tunaona vitabu vyote vinaweka mkazo juu ya mambo ya mapenzi yasio halali (ndoa)

Sasa swali linabaki:
Kama uzinifu ni katazo, na pia kujichua kwa baadhi ya mitazamo ya kidini huonekana si sahihi, basi mtu ambaye hana ndoa afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi?

Je, bora uzinifu au kujichua?

Hapa jukwaani kuna wale wasiofungamana na dini yaani hawaanimi hivi vitabu 2

Tusiwaache nyuma wasioamini katika dini pia

je nyie mnaonaje hili swala? Au kwenu hakuna mwiko kabisa kwenye jambo hili?

Wadau, tujadiliane kwa heshima bila kubezana maana hii ni hali inayowagusa watu wengi ila haizungumzwi waziwazi

Yanachukuliwa kama mambo ya aibu ila watu wanafanya mafichoni

Mnaonaje nyie?

ShesRise_1 ✋️
Blue Monday 💙
Hili ni suala ambalo mitazamo yake hutofautiana kulingana na dini, maadili, utamaduni na imani binafsi za kila mtu. Kwa upande wa dini nyingi, uzinifu hukatazwa waziwazi, huku baadhi ya madhehebu yakitofautiana kuhusu kujichua. Kwa watu wasiokuwa na msimamo wa kidini, mara nyingi jambo huangaliwa zaidi kwa misingi ya ridhaa, afya, usalama na athari kwa mhusika au wengine.

Kwa mtazamo wangu, ni vigumu kuweka jibu moja linalowafaa wote. Mtu anapaswa kuzingatia imani zake, maadili yake na matokeo ya kitendo husika. Kilicho muhimu ni kufanya maamuzi kwa uwajibikaji, kuepuka kumdhuru mtu mwingine, na kuheshimu misingi anayoiamini.
Blue Monday 💙💙💙💙 for everybadi
 
Nadhani hii dunia tunaishinmuda mchache Sana hauhitaji kucomplicate Sana maisha. Suala la dhambi ni mtazamo tu na ni Sheria ambazo tumejuwekea au uoga tuliojiwekea ili kupunguza maovu.

Jaribu kuangalia anga lote nyakati za usiku hizo nyota na makorokoro yote ni baadhi tu ya Mambo yaliyoumbwa na Mungu na yote hayo pamoja na kuwa tunayaona kwa uchache tu lakini yako kwenye galaxy moja ya milk way na unaambiwa kuwa Kuna zaidi ya galaxy bilioni moja. Kwahiyo Mungu hawezi kuumba vitu vyote hivyo afu aje akuue kwa moto kisa tu umezini au umejichua.

Ni wewe tu kuamua ujichue au utafute mtu mzagamuane japo hayo yanategemea gharama pia, kumla mtu ni Bora zaidi maana mnapata na muda wa kubadilishiana mawazo japo ni gharama ila kujichua ni one man show Haina gharama lakini pia hainogi Sana.
 
Kwa muujibu wa biblia Uzinifu na uasherati nidhambi lakini sio punyeto.
Lakini punyeto inatakiwa ifanywe kwa kiasi maana inaathari sana kwa mtu akishakua mlevi wa hilo jambo.
Kwa mtu aliye single sio vibaya kujichua mara mbili au tatu kwa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom