Kuitwa kwenye usaili NHIF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kwenye usaili NHIF

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Stany, Nov 2, 2011.

 1. S

  Stany JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mfuko wa afya wa bima Nhif unawatangazia wale wote walioomba kazi Kama ifuatavyo ;
  >wale wenye shahada ya kwanza tar 7/nov 2011
  >diploma ya juu na kawaida tar 8 Nov
  waombaji wenye vyet vya form 6&4 tar 9Nov.
  Usaili utafanyika ukumbi wa baraza la maaskofu kurasin TEC kuanzia saa mbil asbh
  limetolewa na
  mkurugenz mkuu NHIF.
  Source daily news.
   
Loading...