Kuitwa kwenye intaviu NHIF

Kwani tangazo linasemaje,wote walioapply au waliotumiwa barua?AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO
 
Dah asavali...manake ningesafiri toka mtwara nije huko dar kufanya maswali 2 tu, wangentaka radhi wahuni hao...!!
Endeleeni kutujuza, hayo maswali yameuliza nini?

Bora hujaja mkuu, watu nyomi alafu ujinga mtupu
 
Ni kweli wametuita wote kwa ajili ya good governance and transparent au ndio chogi kiini macho wenye kazi zao teyari walishapatiakana....na nini mantiki ya kutaka twende na Vyeti wakati wala hatukukaguliwa....????
 
nilienda kutimiza wajibu 2, ila sina iman nao hata kidogo.
 
Jamani kwa sisi tulio shindwa kuuzulia watatusaidiaje manaake watu tulikua mbali hawata weka siku nyingine naombeni msaada wenu
 
tunakoelekea sasa ni kubeba mabango tu no way cz wz wa kutudanganya umezid,bora nikalime mchicha
 
Ukiona majina hayatolewi jua ni usanii wanaoufanya,watu wameishapangwa.Hivi ni lini wafanyakaz wa serikalin mtakua na akili za kufanya mambo yenye mantiki?.utaita vip watu ktk usaili bila kutaja majina yao?.

tangazo hilo lipo wazi kwa upande wa majina maana ni wote walio apply wanahitajika
 
Back
Top Bottom