Kuitwa Kituo cha Polisi

Kuitwa Kituo cha Polisi

Wakuu kwema,

Nikiwa naendelea na harakati zangu za hapa na pale ghafla simu iliita, nikapokea sauti ya mwanaume basi alivyo jitambulisha na kunitaarifu kuwa nifike kituo kikuu cha polisi leo bila kukosa.

Hapa najiuliza kuna shida gani hadi kuitwa huko, sina rekodi yoyote ya kiuhalifu wala sina mdai anaenidai, nawaza sana nakosa majibu.

Najua huku kunamaadvocate, naomba ushauri wao ili kusudi wasije niweka rumande mnk kwani nini wanipigie siku kama ya leo kama siyo wana lengo baya.

Nawasilisha
Mkuu, inawezekana pia ni washkaji zako tu ndio wanakuchezea akili. They are taking you for a fool.
 
Back
Top Bottom