Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

Joined
Aug 4, 2014
Posts
44
Reaction score
15
Habarini wanajamvi...Kwa wale waliofanya usaili na TRA kwa nafasi za ACO,ATO,APO na PA mwezi wa 12 habari kutoka chanzo cha kuaminika (Reliable Source) kutoka MAPATO HOUSE makao makuu TRA ni kwamba wiki hii wakati wowote kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wataita watu waliofanikiwa kupata kazi,so msikae mbali na simu zenu wadau!
Nawatakia kila la kheri tukutane pale ITA Institute of Tax Adminstration (chuo cha kodi) mikocheni kwa ajili ya training!
NAWASILISHA!!
 
Kwa hiyo kabla hatujajua kama tumepata au la we tayari ushapata?,daaaaah!!!!!!!!,hii inji hiiiiii!!!!!!!,no sweat tutafika tu
 
Duu kWeli mAdOgo mmEpanIa hiYo tRa. mngeJua cHallEngeS za MamlakA saiv MngeKuwa MnaombA muNgU awApe nguvu eNdapo mTafanikiwa kuPata.
 
Hapana mkuu sijui kama nimepata au vipi!Ni kujipa matumaini tu,ni vizuri kuwa na hope!!

Mmh kuwa na hope wakati maneno hadi nikazani labda weye unafanya kazi humo. Kumbe mmmh....kama vile umeshaambiwa umepatiwa kazi.
 
Tufumbe macho tusali,kupata kazi imekua ishu,tusubiri tuone kama tutaitwa tukikosa tuangalie ustaarabu mwingine.
 
Habarini wanajamvi...Kwa wale waliofanya usaili na TRA kwa nafasi za ACO,ATO,APO na PA mwezi wa 12 habari kutoka chanzo cha kuaminika (Reliable Source) kutoka MAPATO HOUSE makao makuu TRA ni kwamba wiki hii wakati wowote kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wataita watu waliofanikiwa kupata kazi,so msikae mbali na simu zenu wadau!
Nawatakia kila la kheri tukutane pale ITA Institute of Tax Adminstration (chuo cha kodi) mikocheni kwa ajili ya training!
NAWASILISHA!!
Labda kuanzia kesho mpaka sasa hawajapiga namini Mungu ni mwema atatupa kazi
 
Duuuu hawa jamaa wangeona laments za humu wangefanya michakato yao haraka mana hali tete. Nawasilisha
 
Dah hawa watu watatuua kwa presha, ila kama ipo ipo tu. Mungu mwema atafanya tu
 
Watu mnapenda kutoa taarifa za uongo sana!

Vipi week ikiisha bila watu waitwa kazini,mtoa mada huoni kua utakua huaminiki tena??
 
Back
Top Bottom