Yaweza kuwa ni kweli walishaanza kuita, maana hata mie nimepata taarifa za huyo jamaa research officer (chemical & process) kuitwa na tar 20 atasign contract then tar 26 ni siku ya kuanza kazi. So yaweza kuwa washaita watu kwa ile intervw ya may, ila hii ya hiv karibuni inaonekana bado.