Kuitana "baby" mwanzoni mwa mahusiano.....

Kuitana "baby" mwanzoni mwa mahusiano.....

miaka 20 kwenye ndoa neno baby kama dawa jinsi tunavyozidi kuzeeka mapenzi ndo yanazidi balaa
 
Tena ukute kuna nyuki karibu... halafu wawe wanajua kiingereza kama honey ni asali... weeee! utaisoma namba

Da ina sound gud sana pale unapoitwa bby na umpendae, bt kama ikipungua ujue watu wamechepuka wameogopa folen ya ubungo.………
 
sio mwanzo tu,inategemea na mahusiano yenu...dadaangu ameolewa over ten years na mpaka leo wanaitana na hubby wake majina hayo....DARLING....:wink2:
 
nadhan kuitana majina halisi ni nzuri zaidi na ina kaa mda mrefu badala ya kuitana baba flan au mama flan au hayo majina cjui baby, closer etc
 
Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?

Mkisha ingia majukumu ya kifamilia mkaanza kuwa na watoto mapemzi yanahama kwenda kwa watoto especially kwa cc weusi,but pia mind u sio utaratibu wetu siku zote kitu cha kuiga kinatabu kwenye implementation I gues thts the reason
 
Upya uanchangia, mnapozoeana mnaanza kuchokana kidogo kidogo kila siku zinavyoenda

Na sii kwenye uhusiano tu, hata kitu/chombo n.k kinapokua kipya unakua na hamu nacho mara kwa mara

Macho yakishazoea kwisha habari yake
 
Ila inaboa ukiwa public afu mwenzako anakuita hivo. Sipendagi sana. Labda tuwe mtu mbili tu.
 
Haya maandishi ya kike ama ya kiume?

Duuuuuu!!!! Kuna mijitu michokonozi balaa,
Hoja yako iko Kiintelijensia mno na ina MASHIKO pia.
Nadhani mdau ana deni la ufafanuzi vinginevyo, Kuna maswali lukuki yaso majibu.
 
Back
Top Bottom