Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,332
- 111,510
Mimi my Daddy and Mummy bado wananiita Baby hadi leo..... tena asubuhi naulizwa "Baby huendi kazini".
Angalia huyu kula kulala, yani unafanyakazi halafu unakaa kwa Baba? hasara hii.
Mimi my Daddy and Mummy bado wananiita Baby hadi leo..... tena asubuhi naulizwa "Baby huendi kazini".
mhhhhhh nikikuita najua ze king atanigecha bila kufanya utafitiAaah majina mazuri mazuri yale si uanjua?
Hana shida yule kwanza kasafiri dubai, unajua?
hahahaha thank u so much tatizo siku hizi uniiti honey au swthrt au baby nayamisije hayo majina ya kimahaba worry out ma Excel ma heart belong to u only
hahahahaaha usinitie majaribuni
Angalia huyu kula kulala, yani unafanyakazi halafu unakaa kwa Baba? hasara hii.
Ni mpitaji
Mie mwaka wa tano nw naitwa limekuwa ndo kama jina langu.....!Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?
Haya maandishi ya kike ama ya kiume?
Kipya kinyemi babu wee..! Akha hebu acha tujiachie hujui kuitwa bebi kuna raha na ladha zake ???
Bora shulemate umeuliza!!
kauli hizi kwa Anko M7 Tunaweza kumpoteza
Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?
Mie mwaka wa tano nw naitwa limekuwa ndo kama jina langu.....!
Nilichogundua inawaisaidia mademu ata anapokua na mchepuko kutochanganya majina,sababu wote anawaita BBY
Haya maandishi ya kike ama ya kiume?
Box 2 wewe ni bingwa wa mafumbo ?!unajifanya mende sio !?MATE huwa wanaanza hivi kidogo kidogo,mara maandishi ya kushoto,baadae sauti mlegezo mwisho wanatoa NJIA kwa watu wa fursa,kazi kweli kweli!
Shida ni kwamba mmesoma huku mmbena pua jaribu kusoma tena ukiwa umekunja uso na kwa sauti nene...!!Brother,hiyo lugha kampala utapelekwa kunyea debe!!
M7 Hapendi kabisa hizo lugha!!