Kuitana "baby" mwanzoni mwa mahusiano.....

Kuitana "baby" mwanzoni mwa mahusiano.....

Hizi baby ni za kuzipima sana unakuta binti ana miaka 23 au mwanaume ana miaka kama hiyo kabinti kanamwita mtu ana miaka 50 baby vipi unaonekana kama una miaka 18

Wizi mtupu itaneni baby kama mnaendana sio mtumie baby kuibia watu mjini teh!
 
Tena ukute kuna nyuki karibu... halafu wawe wanajua kiingereza kama honey ni asali... weeee! utaisoma namba

Ukifika ndani anakuambia "honey mende" Price eti nije kumuua mende????
 
Last edited by a moderator:
hiyo tunaita utility na disutility katika mapenzi....

mwanamke mpya huwa ana utility kubwa sana.. hivyo zile ambo ze Te amo kuanzia saa nne usiku kama ilivyo ada, message za goodmorning ba bebi umekula nini wakati hujamtumia hata mia, huwa ni nyingi sana...

lakini disutility huja baada ya kuwa mmejenga mazingira ya kuchujana, hapo hata text ya goodmorning inaweza kujibiwa wakati wa goodafternoon!... reason: baby I was busy!! another reason: ushakula mzigo kitaaaaambo!

cha kufanya tu ni kujua njia za kuboresha love affair yenu kiujumla!

unanidai dripu la azam cola. umeongea mapwents tu.
 
Mkianza kuishi mambo mengi yanajitokeza ikiwepo tabia ambazo ulikuwa hujui mwenzako anazo, kuna family issues nyingi zinaingilia kama mambo ya ndugu, mambo ya income nayo kila mtu anakuwa na heka2 ya kutafuta (so expectation ya mmoja kwa mwenzie kama ataweza kumaintain the same income aliyomkuta nayo) inaweza kupunguza kuitana baby. Infact ni mambo mengi sana ambayo mtu alidhani kuoa/kuoelewa itakuwa paradise (expectations) so mambo yakichange kuitana baby nako kunapungua. Mi nadhani be yourself,hivyo unamwita mpenzi wako baby bila kucopy kwenye movies then no matter how the storm might be you will stick to it, na pia dont expect much kutoka kwa mwenzako mana ni binadamu
 
hahaha umeona eeeh yani penzi jipya raha jamani

Kuna mzee namfahamu saivi anawajukuu, yeye na mke wake wanaitana mke wangu na mume wangu, napenda wanavoishi naamini kumbe inawezekana bana
 
Simply because mtoto huwa anapendwa na kuwa cared all the time,so kumuita mwenzako baby ni kiashirio kimojawapo kwamba unampenda na kumcare all the time ila as the time goes on hasa kwa wanaume kutokana na kukipata kile kilichokufanya umpende na kumjali automatically kumuita baby lazima kutapungua na hapo ndo mapenzi ya kweli yanapoanza unajua kama mtu ulimpenda kweli au ulimtamani na kinyume chake kwamba duu atajua ama alipendwa kweli au alitamaniwa.
 
Kuna mzee namfahamu saivi anawajukuu, yeye na mke wake wanaitana mke wangu na mume wangu, napenda wanavoishi naamini kumbe inawezekana bana

inawezekana sanaaa tatizo ni kujisahau tuk wa wanaume mwingine unamwita baby hata hakujibu kimahaba
 
hahahahahaha meseji ya goodmorning inajibiwa afternoon
kama unavyonifanyia nowdays ze king

how many crowns do you have my sweetness??

unajua wewe ndiye my number one? nobody else will ever lay on our expensive bed!

relax honey... the night is hours!... i am yours!.. you are mine wherever!

 
Last edited by a moderator:
how many crowns do you have my sweetness??

unajua wewe ndiye my number one? nobody else will ever lay on our expensive bed!

relax honey... the night is hours!... i am yours!.. you are mine wherever!


hahahaha thank u so much tatizo siku hizi uniiti honey au swthrt au baby nayamisije hayo majina ya kimahaba worry out ma Excel ma heart belong to u only
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom