Kuitana "baby" mwanzoni mwa mahusiano.....

Kuitana "baby" mwanzoni mwa mahusiano.....

i prefer my name to any other name, sijui aje but the way he calls it iko tofauti sana na wote wanavyoniita
 
Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?

Mahusiano hayo kati ya nani na nani?.................Acha urongo.................!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yani akiniitaga my real name ndio nafil burudani zaid cpendag majina yaliokuja na ndege mim cpend kabsaa!
 
hiyo tunaita utility na disutility katika mapenzi....

mwanamke mpya huwa ana utility kubwa sana.. hivyo zile ambo ze Te amo kuanzia saa nne usiku kama ilivyo ada, message za goodmorning ba bebi umekula nini wakati hujamtumia hata mia, huwa ni nyingi sana...

lakini disutility huja baada ya kuwa mmejenga mazingira ya kuchujana, hapo hata text ya goodmorning inaweza kujibiwa wakati wa goodafternoon!... reason: baby I was busy!! another reason: ushakula mzigo kitaaaaambo!

cha kufanya tu ni kujua njia za kuboresha love affair yenu kiujumla!
Siku hizi uko juu kwenye malavidavi!!! big up!
 
nilivyoizoea baby hata tuwe kwenye maugomvi ntaita baby tu
 
tangu mevuka chalinze mwaka ulee eee hadi leo huwa naitwa baby, my baby....baby
 
..na mvi zangu ila bado nainjoi ubebi,
 
Mh! Wengine kama mie hata sijawahi kuitwa hayo majina,labda siku nikimpata.
Hata hivyo mtu kukuita baby huo ni utapeli kujifanya anathamini uhusiano wenu wa kimapenzi lakini hakuna lolote
 
Back
Top Bottom